Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Mali yaonya kuhusu 'maafa' ECOWAS ikiishambulia kijeshi Niger

    Mali yaonya kuhusu 'maafa' ECOWAS ikiishambulia kijeshi Niger

    Aug 08, 2023 04:11

    Uingiliaji wa kijeshi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) nchini Niger kwa ajili ya kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum aliyepinduliwa Julai 26 unaweza kuibua maafa na maangamivu makubwa.

  • Changamoto ya nishati na vita vya kuwania madaraka nchini Niger

    Changamoto ya nishati na vita vya kuwania madaraka nchini Niger

    Aug 07, 2023 09:29

    Licha ya kumalizika muda uliowekwa na ECOWAS kwa baraza la kijeshi la Niger kuhusu kukabidhi madaraka, lakini hakuna ishara zozote zinazoonesha kuwa jumuiya hiyo ya kiuchumi ya magharibi mwa Afrika iko tayari kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini humo.

  • Russia yatahadharisha kuhusu uingiliaji kijeshi huko Niger

    Russia yatahadharisha kuhusu uingiliaji kijeshi huko Niger

    Aug 06, 2023 07:06

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetahadharisha kuhusu hatua yoyote ya kuingia kijeshi nchini Niger.

  • Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger

    Algeria: Hatuungi mkono uingiliaji wa kijeshi nchini Niger

    Aug 06, 2023 03:45

    Algeria imepinga vikali mpango wa kuingia kijeshi nchini Niger, kwa lengo la kuhitimisha mapinduzi ya kijeshi ya mwishoni mwa mwezi uliopita, yaliyomuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.

  • Waziri Mkuu aliyepinduliwa Niger ataka mazungumzo kuhitimisha mapinduzi

    Waziri Mkuu aliyepinduliwa Niger ataka mazungumzo kuhitimisha mapinduzi

    Aug 05, 2023 23:58

    Huku baadhi ya nchi za Afrika Magharibi zikijiandaa kuingia kijeshi nchini Niger 'kurejesha' utawala wa kikatiba, Waziri Mkuu wa nchi hiyo aliyepinduliwa pamoja na serikali ya Rais Mohamed Bazoum wa nchi hiyo ametoa mwito wa kufanyika mazungumzo ili kuhitimisha mzozo huo.

  • Mgogoro wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger

    Mgogoro wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger

    Aug 05, 2023 04:53

    Mgogoro wa kisiasa uliosababishwa na mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea nchini Niger umeendelea kutawala habari za eneo la Magharibi mwa Afrika.

  • Ujumbe wa ECOWAS waondoka Niger bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi

    Ujumbe wa ECOWAS waondoka Niger bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi

    Aug 04, 2023 08:39

    Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) umeondoka katika mji mkuu wa Niger, Niamey bila kukutana na kiongozi wa mapinduzi, Jenerali Abdourahmane Tchiani, huku rais aliyeondolewa madarakani, Mohamed Bazoum akitoa wito kwa jamii ya kimataifa kusaidia kurejesha utawala wa kikatiba.

  • Niger yasimamisha matangazo ya France 24 na RFI

    Niger yasimamisha matangazo ya France 24 na RFI

    Aug 04, 2023 04:37

    Serikali ya mpito ya kijeshi ya Niger imetangaza kusitisha nchini humo matangazo na shughuli za redio ya Kifaransa ya RFI na televisheni ya France 24 zinazofadhiliwa na serikali ya Ufaransa.

  • Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Maelfu waandamana Niger wakitaka kufukuzwa askari wa US, Ufaransa

    Aug 03, 2023 23:27

    Maelfu ya wananchi wa Niger wamefanya maandamano katika mji mkuu Niamey, wakitaka kufukuzwa nchini humo mara moja wanajeshi wa Marekani na Ufaransa.

  • Uingiliaji wa kigeni katika mapinduzi ya Niger

    Uingiliaji wa kigeni katika mapinduzi ya Niger

    Aug 01, 2023 11:36

    Baada ya kupita takribani wiki moja tangu kutokea mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, mgogoro wa kisiasa umeenea katika nchi hiyo na nchi na taasisi za kieneo na kimataifa zimechukua misimamo tofauti katika uwanja huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS