-
Maandamano ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky yafanyika Nigeria
Apr 02, 2016 08:22Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano kulalamikia kuendelea kuwekwa korokoroni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Askari wa UN walitumia mbwa kuwanyanyasa kingono watoto CAR
Mar 31, 2016 04:28Maafisa wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wameanzisha uchunguzi kuhusiana na unyanyasaji unaofanywa na wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
HRW: Boko Haram iliteka mamia ya wanawake na watoto huko Damasak
Mar 31, 2016 03:41Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti inayoonesha kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram liliwateka mamia ya wanawake na watoto katika mji wa Damasak kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Wapinzani Nger: Tupo tayari kuzungumza na Rais Issoufou
Mar 29, 2016 02:30Wapinzani nchini Niger wametangaza azma yao kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais Mahamadou Issoufou wa nchi hiyo.
-
Makumi ya magaidi wa Boko Haram wauawa Nigeria
Mar 28, 2016 23:52Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa nchini Nigeria.
-
Waislamu waandamana Nigeria kupinga kuendelea kuwekwa kizuiziniSheikh Zakzaky
Mar 27, 2016 10:05Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano katika miji kadhaa wakipinga kuendelea kuwekwa kizuizini Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN).
-
Wawakilishi wa Zakzaky wakataa kuhudhuria mahakamani Nigeria
Mar 24, 2016 03:34Timu ya wanasheria wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imechukua uamuzi wa kutohudhuria vikao vya kesi ya kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky baada ya viongozi wa Nigeria kuwazuia wanachama wa timu hiyo kukutana na mteja wao anayeshikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.
-
IHRC: Faili la mauaji ya Zaria limepelekwa ICC
Mar 22, 2016 23:31Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza imetangaza kuwa faili la mauaji ya Waislamu katika mji wa Zaria nchini Nigeria limewasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu huko The Hague nchini Uholanzi.
-
Boko Haram imeua watu 20,000 Nigeria, hasara ya $5.9bn Borno
Mar 22, 2016 02:55Benki ya Dunia imesema magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria hadi sasa wameua watu 20 elfu na kusababisha hasara ya dola bilioni 5.9 katika jimbo la Borno.
-
Magaidi 27 wa kundi la Boko Haram waangamizwa Nigeria
Mar 21, 2016 23:07Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa magaidi wasiopungua 27 wa kundi la kigaidi na kitakfiri wa Boko wameangamizwa katika mashambulio kadhaa yaliyofanywa na jeshi hilo katika mkoa wa Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.