-
Tume ya haki za binadamu ya Nigeria kulichunguza jeshi kuhusu madai ya utoaji mimba
Feb 02, 2023 03:04Tume ya haki za binadamu ya Nigeria imeteua jopo maalumu ambalo jukumu lake litajumuisha kuchunguza ripoti ya Reuters kwamba jeshi liliendesha mpango wa siri wa uavyaji mimba katika mapambano yake dhidi ya makundi yenye silaha kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mripuko wa bomu waua makumi ya watu katikati ya Nigeria
Jan 27, 2023 02:42Wafugaji 27 wa kabila la Fulani wamepoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa, baada ya bomu kuwaripukia katika kijiji cha Rukubi, katika mpaka wa majimbo ya Nasarawa na Benue, katikati ya Nigeria.
-
Mkutano wa ahadi wa kusaidia Bonde la Ziwa Chad umeanza nchini Niger
Jan 24, 2023 07:10Serikali za Niger, Ujerumani na Norway, pamoja na Umoja wa Mataifa zinashiriki kwa pamoja mkutano wa tatu wa ngazi ya juu kuhusu Kanda ya Bonde la Ziwa Chad, ambao ulianza jana na kuendelea leo katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha Mahatma Gandhi katika mji mkuu wa Niger, Niamey.
-
Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa
Jan 07, 2023 10:25Waislamu nchini Nigeria wamelaani kitendo cha dharau, kejeli na udhalilishaji cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vya kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ajali mbili za barabarani zaua watu 21 Nigeria
Dec 28, 2022 11:32Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa, watu 21 wamefariki dunia kutokana na ajali mbili za barabarani zilizotokea nchini humo siku ya Jumatatu na Jumanne.
-
Magaidi wa Boko Haram waua raia 17 kaskazini mwa Nigeria
Dec 27, 2022 07:37Vyombo vya habari vya Nigeria vimetangaza kuwa, watu 17 wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kufuatia shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram.
-
Gharama za maisha zapanda pakubwa Nigeria huku watu maskini wakiongezeka nchini
Dec 25, 2022 07:34Kitengo cha Taifa cha Takwimu nchini Nigeria kimetangaza kuwa gharama za maisha zimeongezeka huku jamii ya watu maskini ikiongezeka pia nchini humo.
-
Kipindupindu chaua watu 51 kusini mwa Nigeria
Dec 20, 2022 07:29Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 51.
-
Zakzaky: Mauaji ya Zaria ni ishara ya Waislamu wa Nigeria kuwa katika njia sahihi
Dec 14, 2022 07:52Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, mauaji ya umati ya Zariya yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya nchi hhiyo ni ishara ya wazi kwamba, Waislamu wa taifa hilo wamo katika njia sahihi.
-
Jeshi la Nigeria latuhumiwa kuua watoto katika vita dhidi ya ugaidi
Dec 13, 2022 07:23Jeshi la Nigeria linatuhumiwa kufanya mauaji makubwa dhidi ya watoto katika operesheni zake za kupambana na magenge ya kigaidi.