Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan

    Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan

    Dec 11, 2022 12:40

    Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kulalamikia mbinyo na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Azerbaijan.

  • Waislamu wa Nigeria waandamana katika hauli ya mashahidi wa Zaria

    Waislamu wa Nigeria waandamana katika hauli ya mashahidi wa Zaria

    Dec 10, 2022 12:54

    Wananchi wa Nigeria wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika katika hauli na kumbukumbu ya mashahidi waliouawa katika mauaji yaliyofanywa na vikosi vya usalama katika mji wa Zaria miaka saba iliyopita.

  • Raia 3 wa Nigeria wasalia chini ya meli kwa siku 11 na kufika katika visiwa vya Canary

    Raia 3 wa Nigeria wasalia chini ya meli kwa siku 11 na kufika katika visiwa vya Canary

    Nov 30, 2022 03:05

    Kikosi cha Uokoaji wa Baharini cha Uhispania kimewaokoa watu watatu waliokuwa wamejificha chini ya meli moja ya mafuta iliyopakia kutoka Nigeria ikielekea katika visiwa vya Canary.

  • Boko Haram waua askari 10 wa Chad katika mpaka wa Nigeria

    Boko Haram waua askari 10 wa Chad katika mpaka wa Nigeria

    Nov 23, 2022 06:29

    Wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamewaua wanajeshi 10 wa Chad katika eneo la mpakani baina ya nchi hiyo na Nigeria.

  • Magaidi washambulia mji na kambi ya jeshi na kuua askari, raia

    Magaidi washambulia mji na kambi ya jeshi na kuua askari, raia

    Nov 21, 2022 10:52

    Wanachama wa genge moja la kigaidi wameshambulia kambi ya jeshi na mji mmoja huko kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua idadi kubwa ya raia na maafisa usalama.

  • Wanamgambo waua wanakijiji 12 kaskazini mwa Nigeria

    Wanamgambo waua wanakijiji 12 kaskazini mwa Nigeria

    Nov 17, 2022 07:02

    Watu wenye silaha nchini Nigeria wameshambulia kijiji kimoja na kuwaua watu wasiopungua 12 katika shambulizi jipya huko kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.

  • Vituo viwili vya afya vyashambuliwa kaskazini magharibi mwa Nigeria

    Vituo viwili vya afya vyashambuliwa kaskazini magharibi mwa Nigeria

    Oct 19, 2022 10:32

    Majambazi waliokuwa na silaha wameshambulia hospitali na kituo cha afya huko kaskazini magharibi mwa Nigeria na kuua watu kadhaa.

  • Wahadhiri wa vyuo vikuu Nigeria wahitimisha mgomo wao wa miezi 8

    Wahadhiri wa vyuo vikuu Nigeria wahitimisha mgomo wao wa miezi 8

    Oct 14, 2022 13:35

    Muungano wa Kitaaluma wa Wafanyakazi wa Vyuo Vikuu vya Serikali Nigeria (ASUU) umetangaza leo Ijumaa kuhitimiha mgomo wao wa miezi 8.

  • Mahakama Nigeria yamuondolea mashitaka kiongozi wa harakati ya Biafra

    Mahakama Nigeria yamuondolea mashitaka kiongozi wa harakati ya Biafra

    Oct 14, 2022 07:53

    Mahakama ya Rufaa ya Nigeria imemfutia mashitaka yote Nnamdi Kanu, kiongozi wa Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), wanaotaka kujitenga eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.

  • Walioaga dunia kwa mafuriko Nigeria wapindukia 500, Sudan Kusini 62

    Walioaga dunia kwa mafuriko Nigeria wapindukia 500, Sudan Kusini 62

    Oct 13, 2022 10:44

    Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mafuriko huko nchini Nigeria imeongezeka na kufikia watu 500.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS