-
Mafuriko yaua watu 24 kaskazini mwa Nigeria
Oct 08, 2022 11:12Watu wasiopungua 24 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika jimbo la Katsina la kaskazini mwa Nigeria.
-
Nigeria: Mateka wa mwisho katika shambulio la treni la mwezi Machi waachiliwa huru
Oct 06, 2022 13:37Mateka 23 wa mwisho waliokuwa wakishikiliwa na watu wenye silaha huko Nigeria ambao walitekeleza shambulio kubwa katika treni huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu wameachiwa huru. Hayo yameelezwa na maafisa husika wa nchi hiyo.
-
Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein yafanyika Tanzania, Nigeria, Niger
Sep 18, 2022 08:16Waislamu ya madhehebu ya Shia Tanzania, visiwani Zanzibar, Nigeria na Niger wamefanya marasimu, matembezi na vikao vya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 07:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 420 wa Boko Haram, ISIS huko Borno
Sep 11, 2022 11:58Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigadi la Boko Haram na lile la ISIS Wilaya ya Afrika Magharibi (ISWAP) kaskazini mwa nchi.
-
Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran
Sep 04, 2022 11:03Mwanadiplomasia mstaafu na mzoefu wa Nigeria Babaji Umar Misau amesema, ana matumaini kuwa nchi yake itaendelea kuwa na ushirikiano mzuri na wenye manufaa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo rafiki yake wa zamani kama ilivyokuwa kwa miongo mingi.
-
Watoto 22,500 waaga dunia kwa kuvuta hewa chafu Lagos, Nigeria
Aug 31, 2022 02:21Watoto zaidi ya 22,500 walipoteza maisha mwaka jana 2021 katika jimbo lenye idadi kubwa zaidi ya watu la Lagos, kusini magharibi mwa Nigeria kutokana na kuvuta hewa.
-
Iran na Nigeria kupanua ushirikiano wao katika uga wa nishati
Aug 28, 2022 01:22Waziri wa Mafuta wa Iran ameeleza matumaini yake ya kuimarika ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Nigeria katika uga wa nishati.
-
Maandamano ya kupinga kufungiwa chaneli 53 za redio na televisheni Nigeria yaipigisha magoti serikali
Aug 27, 2022 03:23Serikali ya Nigeria imelegeza msimamo kufuatia maandamano ya kupinga na kulalamikia kusimamishwa shughuli za chaneli 53 za redio na televisheni nchini humo.
-
Makumi ya magaidi wauawa kaskazini mwa Nigeria
Aug 13, 2022 01:30Kwa akali wanamgambo 29 wameuawa huku wengine wasiopungua 55 wakitiwa mbaroni katika operesheni ya jeshi la Nigeria kaskazini mashariki mwa nchi.