Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Nigeria yatishia kuwapiga marufuhu raia wa nchi zinazowazuia Wanigeria kuingia

    Nigeria yatishia kuwapiga marufuhu raia wa nchi zinazowazuia Wanigeria kuingia

    Aug 22, 2020 03:12

    Serikali ya Nigeria imetishia kuwapiga marufuku kuingia nchini humo raia wa nchi ambazo zinawazuia Wanigeria kuingia katika nchi hizo kutokana na janga la corona. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa usafiri wa anga wa Nigeria, Hadi Sirika.

  • Genge la kigadi la ISWAP lashikilia mateka mamia ya watu kaskazini mwa Nigeria

    Genge la kigadi la ISWAP lashikilia mateka mamia ya watu kaskazini mwa Nigeria

    Aug 20, 2020 02:31

    Magaidi wa genge linalojiita Dola la Kiislamu la Mkoa wa Afrika Magharibi (The Islamic State West Africa Province) kwa kifupi ISWAP wanawashikilia mateka mamia ya raia wa mji wa Kukawa ulioko katika jimbo Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana Abuja wakitaka kuachiliwa huru kiongozi wao

    Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana Abuja wakitaka kuachiliwa huru kiongozi wao

    Aug 13, 2020 03:41

    Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu Abuja wakilalamikia kuendelea kushikiliwa kizuizini kiongozi wao pamoja na mkewe.

  • Mafuriko yaua makumi ya watu na wengine wapoteza makazi Abuja, Nigeria

    Mafuriko yaua makumi ya watu na wengine wapoteza makazi Abuja, Nigeria

    Aug 02, 2020 06:29

    Mafuriko makubwa yaliyotokea katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Nigeria, Abuja na mji mwingine wa nchi hiyo, yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 30.

  • UN: Raia milioni 1.8 waliopoteza makazi yao Nigeria  wanahitaji ulinzi

    UN: Raia milioni 1.8 waliopoteza makazi yao Nigeria wanahitaji ulinzi

    Jul 30, 2020 06:13

    Umoja wa Mataifa umebainisha wasi wasi wake kuhusu usalama wa watu milioni 1.8 waliopoteza makazi yao nchini Nigeria huku ukosefu wa usalama ukiongezeka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wanajeshi 23 wa Nigeria wauawa katika hujuma kaskazini mwa nchi

    Wanajeshi 23 wa Nigeria wauawa katika hujuma kaskazini mwa nchi

    Jul 20, 2020 03:38

    Magenge ya wabeba silaha wameua wanajeshi wasiopungua 23 nchini Nigeria katika kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Askari 10 wa Nigeria wauawa katika mashambulizi ya kigaidi

    Askari 10 wa Nigeria wauawa katika mashambulizi ya kigaidi

    Jul 14, 2020 03:29

    Duru za kiusalama nchini Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa wanajeshi kumi wa nchi hiyo katika mashambulizi mawili tofauti ya kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Wanajeshi 35 wa Nigeria  wauawa katika shambulio la kundi la Boko Haram

    Wanajeshi 35 wa Nigeria wauawa katika shambulio la kundi la Boko Haram

    Jul 10, 2020 07:17

    Maafisa usalama nchini Nigeria wametangaza kuwa, idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo waliouawa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram katika mji wa Maiduguri wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo imeongezeka na kufikia 35.

  • Wanajeshi 23 wa Nigeria  wauawa katika shambulio la Boko Haram

    Wanajeshi 23 wa Nigeria wauawa katika shambulio la Boko Haram

    Jul 09, 2020 03:09

    Maafisa usalama nchini Nigeria wametangaza kuwa, wanajeshi 23 wa nchi hiyo wameuawa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram katika mji wa Maiduguri wa kaskazini madhariki mwa nchi hiyo.

  • Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana tena wakitaka kuachiwa huru kiongozi wao

    Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana tena wakitaka kuachiwa huru kiongozi wao

    Jul 08, 2020 03:45

    Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja wakitangaza uungaji mkono wao kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa harakati hiyo ambaye anaendelea kushikiliwa kizuizini licha ya hali yake mbaya ya afya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS