Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Kushinda tena Urais

    Kushinda tena Urais "Muhammadu Buhari" na kibarua kigumu anachokabiliwa nacho

    Feb 27, 2019 22:59

    Tume ya Uchaguzi ya Nigeria jana ilitangaza rasmi kuwa Muhammadu Buhari ameibuka mshindi baada ya kumbwaga mshindani wake mkuu Atiku Abubakar na hivyo kupata fursa ya kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.

  • Rais Buhari wa Nigeria kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais

    Rais Buhari wa Nigeria kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais

    Feb 27, 2019 01:18

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amehifadhi kiti chake baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi wa urais wa Jumamosi iliyopita na kumbwaga mpinzani wake karibu kwa karibu kura milioni 4.

  • Uchaguzi Nigeria: Buhari aongoza, upinzani wapinga matokeo

    Uchaguzi Nigeria: Buhari aongoza, upinzani wapinga matokeo

    Feb 26, 2019 04:24

    Tume ya Uchaguzi Nigeria imetangaza kuwa Rais Muhammad Buhari anaongoza kwa kura 280,000 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita.

  • Waangalizi: Makumi ya watu wameuawa Nigeria katika machafuko yanayohusiana na uchaguzi

    Waangalizi: Makumi ya watu wameuawa Nigeria katika machafuko yanayohusiana na uchaguzi

    Feb 25, 2019 12:21

    Makumi ya watu wameuawa katika wimbi la machafuko yanayohusiana na uchaguzi wa rais na bunge nchini Nigeria, wakati nchi hiyo inasubiri kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo.

  • Watu kadhaa wauawa katika ghasia za uchaguzi nchini Nigeria

    Watu kadhaa wauawa katika ghasia za uchaguzi nchini Nigeria

    Feb 24, 2019 10:52

    Asasi za kiraia na timu za waangalizi wa uchaguzi nchini Nigeria zimetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika ghasia za uchaguzi mkuu uliofanyika jana Jumamosi.

  • Raia 14 wauawa katika shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria

    Raia 14 wauawa katika shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria

    Feb 20, 2019 23:25

    Raia wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Idadi ya waliouawa katika shambulizi la wabeba silaha Nigeria yapindukia 130

    Idadi ya waliouawa katika shambulizi la wabeba silaha Nigeria yapindukia 130

    Feb 19, 2019 23:13

    Gavana wa jimbo la Kaduna lililoko kaskazini magharibi mwa Nigeria amesema idadi ya watu waliouawa katika shambulizi la watu wenye silaha Ijumaa iliyopita imeongezeka maradufu.

  • Kuakhirishwa uchaguzi sambamba na kuongezeka mivutano nchini Nigeria

    Kuakhirishwa uchaguzi sambamba na kuongezeka mivutano nchini Nigeria

    Feb 17, 2019 09:37

    Katika hali ambayo uchaguzi mkuu wa rais wa Nigeria ulikuwa umepangwa kufanyika Jumamosi tarehe 16 Februari, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imeuakhirisha ghafla na kutangaza kuwa sasa utafanyika Jumamosi ijayo ya tarehe 23.

  • Upinzani Nigeria: Kuakhirishwa uchaguzi ni njama za kumbakisha Buhari madarakani

    Upinzani Nigeria: Kuakhirishwa uchaguzi ni njama za kumbakisha Buhari madarakani

    Feb 16, 2019 09:15

    Chama kikuu cha upinzani nchini Nigeria kimetilia shaka uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa kuakhirisha uchaguzi, kikisisitiza kuwa kitendo hicho ni hatari kwa taifa na kina lengo la kuandaa mazingira ya kuiba kura kwa maslahi ya rais wa sasa.

  • Nigeria yaakhirisha ghafla uchaguzi wa rais

    Nigeria yaakhirisha ghafla uchaguzi wa rais

    Feb 16, 2019 04:41

    Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria imeakhirisha kwa wiki moja uchaguzi mkuu uliotazamiwa kufanyika hii leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS