Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  •  'Walipizaji Kisasi wa Delta' waapa kuulemaza uchumi wa Nigeria endapo Buhari atachaguliwa tena kuwa rais

    'Walipizaji Kisasi wa Delta' waapa kuulemaza uchumi wa Nigeria endapo Buhari atachaguliwa tena kuwa rais

    Feb 14, 2019 12:07

    Kundi la wanamgambo linalojiita Walipizaji Kisasi wa Delta (Delta Avengers) linaloendesha harakati zake katika eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa Nigeria limetishia kuwa litausambaratisha na kuulemaza uchumi wa nchi hiyo endapo Rais Muhammadu Buhari atachaguliwa tena katika uchaguzi utakaofanyika siku ya Jumamosi.

  • Watu kadhaa wapoteza maisha katika mkanyagano nchini Nigeria

    Watu kadhaa wapoteza maisha katika mkanyagano nchini Nigeria

    Feb 13, 2019 03:58

    Watu wasiopungua 14 wameaga dunia katika mkanyagano uliotokea katika mkutano wa kisiasa kusini mwa Nigeria.

  • IMN: Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumuua Sheikh Zakzaky

    IMN: Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumuua Sheikh Zakzaky

    Feb 07, 2019 03:56

    Harakati ya Kiislamu Nigeria (IMN) imetoa taarifa na kusema jeshi la nchi hiyo linapanga njama ya kumua kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa korokoroni.

  • Amnesty: Boko Haram imeua watu 60 kaskazini mwa Nigeria

    Amnesty: Boko Haram imeua watu 60 kaskazini mwa Nigeria

    Feb 02, 2019 09:11

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu wasiopungua 60 wameua na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Mgombea wa upinzani Nigeria kuzingatia msamaha kwa washukiwa wa ufisadi iwapo atachaguliwa kuwa Rais

    Mgombea wa upinzani Nigeria kuzingatia msamaha kwa washukiwa wa ufisadi iwapo atachaguliwa kuwa Rais

    Jan 31, 2019 11:24

    Atiku Abubakar mgombea wa upinzani wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi ujao nchini Nigeria amesema kuwa atazingatia suala la kuwapa msamaha washukiwa wa ufisadi nchini humo lengo likiwa ni kusaidia kurejeshwa nchini mabilioni ya dola yaliyofichwa nje ya nchi na wanasiasa na maafisa wa serikali.

  • Mahakama Nigeria yataka jopo lisikize kesi dhidi ya Jaji Mkuu aliyesimamishwa kazi

    Mahakama Nigeria yataka jopo lisikize kesi dhidi ya Jaji Mkuu aliyesimamishwa kazi

    Jan 30, 2019 11:12

    Mahakama ya Rufaa nchini Nigeria hii leo imetoa uamuzi wa kutaka jopo la uchunguzi lisikilize kesi inayomuandama Jaji Mkuu wa nchi hiyo aliyesimamishwa kazi hivi karibuni.

  • UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi

    UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi

    Jan 29, 2019 12:41

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 30,000 wamekimbia makazi yao katika mji wa Rann kaskazini mwa Nigeria na kuingia katika nchi jirani ya Cameroon kutokana na wasiwasi wa kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.

  • Boko Haram: Tumeua askari 30 kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Boko Haram: Tumeua askari 30 kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Jan 28, 2019 04:40

    Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limedai kuwa wanachama wake wametekeleza shambulizi katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua askari 30 wa nchi hiyo.

  • Nigeria yapinga uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala yake ya ndani

    Nigeria yapinga uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala yake ya ndani

    Jan 27, 2019 23:59

    Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa, haitakubali uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala yake ya ndani.

  • Upinzani Nigeria wasimamisha kampeni baada ya kutimuliwa Jaji Mkuu

    Upinzani Nigeria wasimamisha kampeni baada ya kutimuliwa Jaji Mkuu

    Jan 26, 2019 04:54

    Chama kikuu cha upinzani nchini Nigeria kimetangaza kufuta kampeni zake kwa muda wa masaa 72 kulalamikia hatua ya serikali ya Rais Muhammadu Buhari ya kumsimamisha kazi Jaji Mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS