Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Boko Haram wafanya shambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria watu 18 wauawa

    Boko Haram wafanya shambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria watu 18 wauawa

    Apr 02, 2018 09:59

    Duru za habari nchini Nigeria zimeripoti kwamba, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limefanya shambulizi katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Idadi ya watu waliopoteza maisha katika shambulizi jimbo la Zamfara Nigeria, yaongezeka maradufu

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika shambulizi jimbo la Zamfara Nigeria, yaongezeka maradufu

    Mar 30, 2018 23:49

    Viongozi wa serikali katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria wametangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia katika shambulizi lililofanywa na kundi la wabeba silaha katika eneo hilo imeongezeka kwa zaidi ya mara mbili ya idadi iliyotolewa awali.

  • Serikali ya Nigeria inafanya mazungumzo na Boko Haram ya uwezekano wa kusitisha mapigano

    Serikali ya Nigeria inafanya mazungumzo na Boko Haram ya uwezekano wa kusitisha mapigano

    Mar 26, 2018 00:02

    Waziri wa Habari wa Nigeria amesema serikali inafanya mazungumzo na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano, lengo kuu likiwa ni kuhitimisha kikamilifu uadui na uhasama baina ya pande mbili.

  • Boko Haram yawaachia huru mabinti 100 iliowateka, yaonya

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 100 iliowateka, yaonya

    Mar 21, 2018 10:39

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limewaachia huru mabinti 100 kati ya 110 iliowateka nyara mwezi uliopita wa Februari, kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Amnesty: Nigeria haikujali tahadhari kuhusu utekaji nyara Dapchi

    Amnesty: Nigeria haikujali tahadhari kuhusu utekaji nyara Dapchi

    Mar 21, 2018 01:00

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, askari usalama wa Nigeria hawakujali taarifa walizopewa zilizotahadharisha kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha lilikuwa mbioni kuelekea katika mji ambako wasichana wasiopungua 110 wa shule walitekwa nyara mwezi uliopita wa Februari.

  • IMN: Serikali ya Nigeria itaendelea kumweka kizuizini Sheikh Zakzaky hadi afe

    IMN: Serikali ya Nigeria itaendelea kumweka kizuizini Sheikh Zakzaky hadi afe

    Mar 15, 2018 04:22

    Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) imesema serikali ya nchi hiyo inapanga kumweka kizuizini kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe Zeenah hadi wafe.

  • Juhudi za kutaka kukomboa wasichana waliotekwa nyara nchini Nigeria

    Juhudi za kutaka kukomboa wasichana waliotekwa nyara nchini Nigeria

    Mar 14, 2018 23:56

    Serikali ya Nigeria ina nia ya kuanza mazungumzo na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jitihada za kutaka kuwakomboa wasichana 111 waliotekwa nyara hivi karibuni na kundi hilo.

  • Polisi: Watu 25 wameuawa katika mapigano mapya Nigeria

    Polisi: Watu 25 wameuawa katika mapigano mapya Nigeria

    Mar 14, 2018 10:38

    Wafugaji wa kabila la Fulani wameua wanakijiji 25 katika jimbo la Plateau katikati mwa Nigeria, kutokana na mzozo wa ardhi.

  • Nigeria kuzungumza na Boko Haram kuhusu kuachiwa huru wasichana 110 waliotekwa

    Nigeria kuzungumza na Boko Haram kuhusu kuachiwa huru wasichana 110 waliotekwa

    Mar 12, 2018 23:37

    Serikali ya Nigeria imesema inapanga kufanya mazungumzo na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram juu ya kuachiwa huru makumi ya wasichana wa shule waliotekwa na wanamgambo hao mwezi uliopita.

  • Watu 10 wauawa katika mapigano mapya kaskazini mashariki mwa Nigeria.

    Watu 10 wauawa katika mapigano mapya kaskazini mashariki mwa Nigeria.

    Mar 10, 2018 11:46

    Kwa akali watu 10 wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la watu wenye silaha kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS