-
Boko Haram yaua raia 10 katika shambulizi la kigaidi nchini Nigeria
Mar 07, 2018 22:11Habari kutoka Nigeria zimeripoti kwamba kwa akali raia 10 wameuawa na wanamgambo wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram katika mashambulizi matatu tofauti, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 16 waripotiwa kuuawa katika mapigano ya wakulima na wafugaji Nigeria
Mar 06, 2018 13:48Watu wasiopungua 16 wameuawa katika mapigano yaliyotokea kati ya wakulima na wafugaji huko katikati mwa Nigeria.
-
UN yasimamisha shughuli zake Nigeria baada ya wahudumu wake kuuawa
Mar 04, 2018 04:36Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kusitisha shughuli zake za utoaji huduma na misaada ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria kutokana na kuuawa wafanyakazi wake katika mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa Boko Haram.
-
Madaktari wasio na mipaka wasimamisha kazi zao kaskazini mwa Nigeria
Mar 03, 2018 12:29Duru za kuaminika nchini Nigeria zimetangaza habari ya kusimamishwa kazi za madaktari wasio na mipaka kaskazini mwa nchi hiyo kutokana na mashambulizi ya magaidi wa Boko Haram.
-
Makumi wapoteza maisha Nigeria kutokana na homa ya Lassa
Mar 01, 2018 01:07Wizara ya Afya ya Nigeria imetangaza kuwa makumi ya watu wamefariki dunia nchini humo kutokana na maambukizi ya homa ya Lassa.
-
Machafuko yaibuka Nigeria baada ya wasichana Wakristo kupenda kuolewa na Waislamu
Feb 27, 2018 12:56Mwenendo wa wasichana wa Kikristo wa jimbo la Kaduna nchini Nigeria kupendelea kuolewa na vijana wa Kiislamu, umepelekea kuibuka vurugu kubwa zilizoendana na umwagaji damu.
-
Makumi ya wasichana watoweka Yobo baada ya shambulizi la Boko Haram
Feb 21, 2018 11:01Zaidi ya wasichana 90 wa shule wanahofiwa kutoweka baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kushambulia kijiji kimoja cha kaskazini mashariki mwa jimbo la Yobo nchini Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria lashindwa kumkamata kinara Boko Haram
Feb 20, 2018 12:06Vikosi vya jeshi la Nigeria vimeshindwa kumkamata kiongozi wa kundi la magaidi wakufurishaji la Boko Haram, Abubakar Shekau katika oparesheni maalumu iliyofanyika hivi karibuni.
-
Nigeria yawaachia huru mamia ya washukiwa wa Boko Haram
Feb 18, 2018 23:35Serikali ya Nigeria imewaachia huru mamia ya watu waliokuwa wakishukiwa kuwa wananchama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram kwa ukosefu wa ushahidi katika kesi zilizokuwa zikiwaandama.
-
Harakati Ya Kiislamu Nigeria yataka haki itendeke kuhusu wafuasi wake waliouawa
Feb 17, 2018 13:46Wafuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana kwa mnasaba wa Siku ya Arubaini ya kuuawa wafuasi kadhaa wa harakati hiyo wakati wakishiriki katika maandamano ya kutaka Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.