Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Watu 18 wauawa katika shambulizi la kigaidi Maiduguri

    Watu 18 wauawa katika shambulizi la kigaidi Maiduguri

    Feb 17, 2018 04:44

    Magaidi watatu waliokuwa wamejifunga mabomu wameua watu wasiopungua 18 katika mji wa Maiduguri ulioko kaskazini mashariki mwa Nigeria ambao ni makao makuu ya jimbo la Borno lililoathiriwa zaidi na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Makumi wauawa kwa kufyatuliwa risasi na wezi wa mifugo Nigeria

    Makumi wauawa kwa kufyatuliwa risasi na wezi wa mifugo Nigeria

    Feb 16, 2018 10:28

    Makumi ya watu wameripotiwa kuuawa kwa kufyatuliwa risasi na genge la wezi wa mifugo katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.

  • Maandamano Nigeria kulaani kuuawa shahidi mwanachama wa Harakati ya Kiislamu

    Maandamano Nigeria kulaani kuuawa shahidi mwanachama wa Harakati ya Kiislamu

    Feb 13, 2018 13:15

    Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (INM) wameshiriki katika maandamanao ya amani kulaani kuuawa shahidi mmoja wa wananchama wa ngazi za juu wa harakati hiyo.

  • Kiongozi wa Boko Haram asema amechoka na anatamani kufa

    Kiongozi wa Boko Haram asema amechoka na anatamani kufa

    Feb 08, 2018 10:24

    Katika kile kinachoonekana ni kupoteza matumaini na kuhisi kufikwa na maji shingoni, kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, Abubakar Shekau amesema amechoshwa na misukosuko na anatamani kufa.

  • Nigeria inaendelea kumzuilia Sheikh Zakzaky kwa amri ya Marekani

    Nigeria inaendelea kumzuilia Sheikh Zakzaky kwa amri ya Marekani

    Feb 04, 2018 13:06

    Mwanaharakati wa kisiasa nchini Nigeria amekosoa vikali hatua ya serikali ya Abuja ya kukataa kumuachia huru mwanachuoni mashuhuri wa Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky licha ya agizo la mahakama, na kusisitiza kuwa msomi huyo anaendelea kuzuiliwa kwa amri ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Amnesty: Makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria

    Amnesty: Makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria

    Jan 30, 2018 13:08

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelituhumu jeshi la Nigeria kuwa limeua makumi ya raia katika mashambulizi ya anga ya mwezi uliopita jimboni Adamawa.

  • Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru

    Wanigeria waendeleza maandamano ya kutaka Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru

    Jan 20, 2018 03:37

    Wananchi wa Nigeria Ijumaa waliendeleza maandamano ya kutaka serikali ya nchi hiyo imuachilie Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Sheikh Ibrahim Zakzaky.

  • Rais wa Nigeria asema hajui kama atagombea muhula wa pili

    Rais wa Nigeria asema hajui kama atagombea muhula wa pili

    Jan 18, 2018 11:00

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema hajui iwapo atagombea muhula wa pili wa uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao 2019 au la.

  • 12 wauawa, 48 wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigeria

    12 wauawa, 48 wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigeria

    Jan 18, 2018 03:41

    Watu 12 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la kujilipua kwa bomu lililotekelezwa sokoni katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Waasi wa Niger Delta watishia kuzishambulia taasisi za mafuta

    Waasi wa Niger Delta watishia kuzishambulia taasisi za mafuta

    Jan 17, 2018 11:28

    Kundi la waasi kwa jina la "Walipizaji Kisasi wa Niger Delta" limetishia kuzishambulia taasisi za mafuta za nchi hiyo siku chache zijazo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS