Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • Naigeria yamsaili balozi wa Marekani, baada ya Trump kuwatukana Waafrika

    Naigeria yamsaili balozi wa Marekani, baada ya Trump kuwatukana Waafrika

    Jan 16, 2018 03:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imemwita na kumsaili balozi wa Marekani mjini Abuja ikiwa ni katika kupinga matamshi ya kejeli na matusi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Afrika na Waafrika.

  • Waislamu Nigeria wasisitiza serikali imuachilie huru Sheikh Zakzaky

    Waislamu Nigeria wasisitiza serikali imuachilie huru Sheikh Zakzaky

    Jan 15, 2018 04:23

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imesema hata baada ya serikali kueneza video iliyochujwa ya kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky, bado hawatatulia hadi pale mwanazuoni huyo atakapoachilia huru.

  • Baada ya miaka miwili, hatimaye Sheikh Zakzaky aonekana mbele ya waandishi wa habari

    Baada ya miaka miwili, hatimaye Sheikh Zakzaky aonekana mbele ya waandishi wa habari

    Jan 14, 2018 01:10

    Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye kwa miaka miwili sasa anashikiliwa kinyume cha sheria, kwa mara ya kwanza jana aliruhusiwa kuzungumza na waandishi wa habari.

  • Nchi 4 za magharibi mwa Afrika zaanza operesheni kali dhidi ya Boko Haram

    Nchi 4 za magharibi mwa Afrika zaanza operesheni kali dhidi ya Boko Haram

    Jan 10, 2018 12:36

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, kikosi cha majeshi ya nchi nne za magharibi mwa Afrika kimeanza hujuma kali iliyopewa jina la Deep Punch 2 dhidi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Waislamu wa Nigeria wataka Sheikh Zakzaky aachiwe huru

    Waislamu wa Nigeria wataka Sheikh Zakzaky aachiwe huru

    Jan 09, 2018 01:16

    Askari usalama wa Nigeria wamewashambulia watu aliokuwa wakifanya maandamano wakitaka kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) na kumuuwa shahidi mfuasi mmoja wa kiongozi huyo wa kidini.

  • Wanajeshi wa Nigeria wamuua mfuasi wa Sheikh Zakzaky

    Wanajeshi wa Nigeria wamuua mfuasi wa Sheikh Zakzaky

    Jan 08, 2018 04:26

    Wanajeshi wa serikali ya Nigeria wamewashambulia wafanya maandamano wanaotaka kuachiwa huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na kumuua mtu mmoja.

  • Indhari yatolewa kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kiafya ya Sheikh Zakzaky

    Indhari yatolewa kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kiafya ya Sheikh Zakzaky

    Jan 08, 2018 00:13

    Binti wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) amesema hali ya kiafya ya baba yake ni mbaya na kuongeza kuwa serikali ya nchi hiyo hairuhusu ashughulikiwe na kupatiwa matibabu.

  • Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Cameroon atiwa nguvuni nchini Nigeria

    Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Cameroon atiwa nguvuni nchini Nigeria

    Jan 07, 2018 09:31

    Kiongozi wa harakati ya wanaotaka kujitenga nchini Cameroon ametiwa nguvuni katika mji mkuu wa nchi jirani ya Nigeria.

  • Serikali ya Nigeria yawatia mbaroni wahusika wa mauaji ya kikabila

    Serikali ya Nigeria yawatia mbaroni wahusika wa mauaji ya kikabila

    Jan 04, 2018 04:27

    Viongozi wa Nigeria wametangaza habari ya kutiwa mbaroni wahusika wa shambulizi la kikabila lililosababisha mauaji ya watu 50, mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kuendelea machafuko ya kikabila nchini Nigeria

    Kuendelea machafuko ya kikabila nchini Nigeria

    Jan 03, 2018 23:03

    Katika mashambulizi mapya ya kikabila nchini Nigeria, watu wa kabila la Fulani wameshambulia eneo la Tif na kuua zaidi ya watu 50 wa eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS