-
Idadi ya Wapalestina walioaga dunia kutokana na njaa Ukanda wa Gaza imeongezeka hadi 197
Aug 08, 2025 02:22Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa Wapalestina wengine wanne wameaga dunia kutokana na njaa iliyosababishwa na kukosa chakula, na hivyo kuifanya idadi ya wahanga walipoteza maisha kutokana na njaa katika Ukanda wa Gaza kuongezeka na kufikia 197.
-
Wapalestina wasiopungua 94 wameuawa shahidi Gaza katika saa 24; 180 waaga dunia kwa njaa
Aug 04, 2025 10:40Vyombo vya habari vimetangaza kuwa Wapalestina wengine wasiopungua 23 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yaendeleza mashambulizi ya anga na mizinga Gaza, watoto wachanga wanakufa kwa njaa
Jul 21, 2025 13:33Mashambulio ya anga na ya mizinga ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza yanaendelea huku janga la njaa likizidi kushadidi siku baada ya siku na kuua Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo.
-
Sababu za Marekani na Israel kuwapiga risasi Wapalestina kwenye safu za misaada huko Gaza
Jul 06, 2025 02:25Wakandarasi wa usalama wa Marekani wanatumia risasi za moto, maguruneti, na gesi ya kuwasha dhidi ya raia katika vituo vya usambazaji wa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Watu wa Gaza wanazirai mitaani kwa sababu ya njaa
Jul 04, 2025 15:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza leo Ijumaa kwamba Ukanda wa Gaza unasumbuliwa na hali mbaya na kwamba njaa imekithiri katika eneo hilo, na watu wanazimia barabarani kutokana na njaa kali.
-
WFP yasimamisha usambazaji wa chakula Darfur Kaskazini, Sudan
Mar 01, 2025 07:14Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesitisha usambazaji wa chakula cha msaada katika kambi ya wakimbizi ya Zamzam nchini Sudan kutokana na kushtadi mapigano kati ya jeshi la serikali na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Kiongozi wa Ansarullah awakosoa walimwengu kwa kupuuza maafa ya Wapalestina
Jan 10, 2025 07:01Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amekosoa kimya na kutojali nchi tofauti za dunia hali ya njaa na mauaji ya kimbari yanayowakabili Wapalestina.
-
Kuendelea jinai za Israel; kukumbwa na njaa watoto 130,000 wa Gaza
Nov 29, 2024 02:31Shirika la kimataifa la kutoa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya watoto la Save the Children limetangaza kuwa, watoto 130,000 walio chini ya umri wa miaka kumi wamezingirwa kwa siku 50 zilizopita kaskazini mwa Gaza bila chakula wala huduma matibabu.
-
Afrika Kusini yatoa ushahidi ICJ kuonesha Israel inavyowatesa kwa njaa Wapalestina wa Ghaza
Nov 13, 2024 11:59Afrika Kusini imesema, ushahidi iliotoa katika kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) unaonyesha jinsi Tel Aviv inavyotumia njaa kama silaha ya vita, lengo likiwa ni kuifanya Ghaza isibaki kuwa na wakazi Wapalestina kwa kuwamaliza kupitia mbinu ya mauaji ya kimbari na kuwahamisha kwa nguvu.
-
Watu milioni 66 wanakabiliwa na uhaba wa chakula Pembe ya Afrika
Jul 05, 2024 02:13Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Jumuiya ya Kiserikali ya Maendeleo ya Afrika Mashariki IGAD zimesema katika ripoti yao mpya kwamba, watu milioni 66.7 katika eneo pana la Pembe ya Afrika hawana usalama wa chakula.