-
Larijani: Suala la makombora ya Iran halijadiliki
Mar 18, 2018 04:44Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa nchi za Ulaya hazipasi kuunganisha kadhia ya makombora ya Iran na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA bali zinapasa kushughulikia majukumu yao na ya Marekani kuhusu makubaliano hayo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman awasili mjini Tehran, aonana na Zarif
Mar 17, 2018 00:37Yusuf bin Alawi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman jana usiku aliwasili hapa Tehran kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi na tayari ameshaonana na waziri mwenzake wa Iran, Mohammad Javad Zarif.
-
Safari ya Rais wa Misri nchini Oman, Sultan Qaboos kwa mara nyingine ni mpatanishi
Feb 05, 2018 09:58Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri ametembelea Oman na kukutana na kiongozi wa nchi hiyo, Sultan Qaboos.
-
Larijani: Ni jukumu la nchi za Kiislamu kufanya juhudi za kupunguza hitilafu
Jan 15, 2018 10:56Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za maadui waliokula kiapo dhidi ya Uislamu kwa ajili ya kupenya na kuzusha hitilafu miongoni mwa Waislamu na kusisitiza kwamba, ni jukumu la nchi za Kiislamu kuzuia kuenea hitilafu na mizozo katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Magari yaliyotengenezwa nchini Iran kuanza kuuzwa nchini Oman
Dec 31, 2017 04:30Mkuu wa kitengo cha biashara katika ubalozi wa Iran mjini Muscat amesema magari yaliyotegenezwa katika viwanda vya Iran sasa yataanza kuuzwa katika soko la Oman.
-
Hossein Amir-Abdollahian: Iran inakitetea kibla cha kwanza cha Waislamu
Dec 11, 2017 04:44Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran daima imekuwa mtetezi wa haki za wananchi madhulumu wa Palestina na kibla cha kwanza cha Waislamu na itaendelea kufanya hivyo.
-
Zarif asema Iran na Oman zina uhusiano mzuri na wa karibu
Oct 02, 2017 11:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Oman katika sekta za siasa, uchumi, usalama na masuala ya eneo ni mzuri na ni wa karibu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Muscat Oman
Oct 02, 2017 00:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo subuhi ameondoka Tehran na kuelekea ziarani mjini Muscat Oman kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo na Qatar.
-
Uhusiano wa kibiashara wa Iran na Oman wazidi kuimarika
Jul 05, 2017 03:43Naibu wa Mkuu wa Shirika la Ustawi wa Kibiashara la Iran anayehusika na masuala ya Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara baina ya Tehran na Muscat Oman umeimarika sana katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Iran, Oman, Kuwait na Qatar nje ya duara la matakwa ya Saudia
May 30, 2017 00:01Baada ya kupita takribani siku kumi tangu kilipofanyika kikao cha kipropaganda cha Waarabu na Marekani mjini Riyadh, Saudi Arabia, kwa lengo la kuasisi muungano bandia dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf Bin Alawi amesema uhusiano wa Muscat na Tehran umejengeka kwa msingi wa ukweli na urafiki na kusisitiza kuwa baadhi ya matukio ya kieneo hayawezi kuathiri uhusiano wa Iran na Oman.