-
Spika wa Bunge la Iran kuelekea Pakistan leo
Dec 23, 2017 04:17Dakta Ali Larijani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anatarajiwa kuuongoza ujumbe wa Kibunge wa Iran kuelekea Pakistan kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa kujadili namna ya kukabiliana na ugaidi.
-
Ukosoaji wa Bunge la Pakistan kwa serikali kwa kujiunga na muungano vamizi ulioasisiwa na Saudia dhidi ya Yemen
Dec 16, 2017 21:54Wawakilishi wa bunge la taifa la Pakistan wamekosoa kushiriki Islamabad kwenye muungano chokozi ulioanzishwa na utawala wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Serikali ya Pakistan yaendelea kuwazuia Waislamu kwenda Karbala kwa ajili ya Arobain ya Imam Hussein (as)
Nov 03, 2017 04:33Habari kutoka Pakistan zinaarifu kwamba, serikali za majimbo kadhaa ya nchi hiyo zimeendelea kuwazuia Waislamu kwenda Karbala, Iraq kwa ajili ya kushiriki katika kumbukumbu za Arubaini ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).
-
Mahakama ya Pakistan yaagiza kukamatwa Waziri Mkuu wa zamani
Oct 26, 2017 04:32Mahakama moja nchini Pakistan imetoa waranti wa kukamatwa Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Nawaz Sharif, baada ya kukosa kufika mahakamani kusikiliza kesi ya ufisadi inayomwandama.
-
Alkhamisi 26 Oktoba, 2017
Oct 26, 2017 01:30Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 26, 2017.
-
Mahakama ya Pakistan yamsomea rasmi mashtaka ya ufisadi Nawaz Sharif na familia yake
Oct 19, 2017 12:44Mahakama ya Pakistan leo imesikiliza rasmi kesi ya mashtaka ya ufisadi inayomkabili aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Muhammad Nawaz Sharif na familia yake, ambayo inaweza kupelekea kiongozi huyo kuhukumiwa kifungo jela.
-
Rais Rouhani: Matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya Afghanistan ni ya kutatuliwa kieneo
Sep 12, 2017 00:10Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matatizo ya Mashariki ya Kati yakiwemo yale yanayoikabili Afghanistan yanaweza kupatiwa ufumbuzi kieneo na kwamba, katu matatizo hayo hayawezi kutatuliwa na maajinabi na madola kutoka nje ya eneo hili.
-
Waislamu Pakistan: Islamabad ijikomboe na utumwa na kuwa tegemezi kwa Marekani
Aug 29, 2017 10:26Katibu Mkuu wa Majlisi ya Umoja wa Waislamu katika jimbo la Sindh nchini Pakistan, ameionya serikali ya nchi hiyo kuwa macho na njama chafu za Marekani.
-
Kuongezeka harakati za kundi la Daesh (ISlS) nchini Pakistan
Aug 14, 2017 03:56Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (lSlS) limetangaza kwamba limehusika na mripuko wa bomu katika mji wa Quetta nchini Pakistan.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan ajiuzulu kufuatia uamuzi wa mahakama
Jul 28, 2017 09:41Waziri Mkuu wa Pakistan, Nawaz Sharif amejiuzulu wadhifa wake baada ya Mahakama ya Juu nchini humo kumuengua madarakani kutokana na kashfa ya ufisadi.