-
Malalamiko ya wananchi wa Pakistan dhidi ya kuendelea mashambulio ya kigaidi dhidi ya Mashia
Jun 27, 2017 03:11Kufuatia kuendelea mashambulio ya kigaidi dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Ahlul-Baiti (Shia) katika mji wa Parachinar nchini Pakistan, wananchi wa nchi hiyo wakiwemo wa mji huo, Islamabad na miji mingine wamefanya maandamano na mikusanyiko ambapo sambamba na kulaani mashambulio hayo ya kigaidi wametoa wito wa kudhamiwa usalama Waislamu wa Kishia.
-
Maulama wa Suni Pakistan: Nchi yetu sio bustani ya Saudia na Marekani
Jun 06, 2017 03:17Mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Kisuni nchini Pakistan amesema kuwa, nchi hiyo sio eneo la kijifaragua la Marekani na Saudi Arabia.
-
Waislamu Pakistan: Mkutano wa Riyadh na Trump ulikuwa wa kupanga njama chafu dhidi ya Uislamu
May 23, 2017 10:52Kiongozi wa Jumuiya ya 'Ahlu Hurm' ya nchini Pakistan amekosoa vikali safari ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudia na kikao cha hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Riyadh, na kusema kuwa kikao hicho kimebainisha wazi kwamba baadhi ya nchi hazifungamani na mafundisho ya dini ya Uislamu, bali zinafungamana na dini ambayo msemaji wake ni Rais Trump.
-
Abdolreza Rahmani Fazli: Pakistan imeahidi kudumisha usalama katika mipaka yake na Iran
May 06, 2017 09:02Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Pakistan imeahidi kudumisha amani na usalama katika mipaka yake na Iran kwa shabaha ya kuzuia harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo hayo.
-
Iran ina haki ya kujibu jinai ya magaidi walioua askari wa mpakani
Apr 29, 2017 03:08Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kutoa jibu kali kwa jinai ya magaidi ambao waliwaua askari wa kulinda mpaka katika eneo la kusini mashariki katika mpaka wa Iran na Pakistan.
-
Kongamano la kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi lafanyika Pakistan
Apr 15, 2017 23:44Kongamano la pili la kimataifa lililopewa jina la 'Ujumbe wa Uislamu' kwa ajili ya kupambana na ugaidi, kufurutu mipaka na ukatili unaotokana na tofauti, limefanyika nchini Pakistan kwa kuhudhuriwa na maelfu ya maulama wa ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya US na Saudia dhidi ya Syria na Yemen
Apr 12, 2017 09:34Maelfu ya Wapakistan wameandamana mbele ya kituo cha waandishi wa habari mjini Islamabad, mji mkuu wa nchi hiyo katika kulaani ushirikiano wa Marekani na Saudia wa kufanya mashambulizi nchini Syria na Yemen na kuyataja mashambulizi hayo kuwa ni jinai ya kivita.
-
OIC yasema mgogoro wa Syria unahitaji suluhisho la kisiasa
Apr 11, 2017 10:57Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiisalmu (OIC) amesema njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria ni mazungumzo na mikakati ya kisiasa.
-
Maelfu ya Wapakistan waandamana kulaani mashambulizi ya kigaidi katika maeneo ya Waislamu wa Shia
Apr 01, 2017 11:40Maelfu ya raia wa Pakistan wamefanya maandamano makubwa ya kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyotokea katika eneo la Parachinar la Waislamu wa Shia nchini humo.
-
Upinzani dhidi ya kushiriki Pakistan katika muungano wa vita vya Saudia huko Yemen, waongezeka
Apr 01, 2017 03:16Wimbi la upinzani wa suala la kujiunga Pakistan katika muungano wa kijeshi wa kimaonyesho unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen bado linaendelea kuongezeka nchini Pakistan.