-
Makundi ya Kipalestina: Msimamo wa uhasama wa Marekani kuhusu Palestina haubadiliki
Nov 09, 2020 00:58Makundi ya Kipalestina yametangaza kuwa kuingia madarakani Joe Biden hakutabadili msimamo wa kiuhasama wa Marekani kuhusu kadhia ya Palestina.
-
Mateka Mpalestina asitisha mgomo wa siku 103 wa kukataa kula baada ya mapatano
Nov 07, 2020 03:58Duru za habari zimedokeza kuwa, mateka maarufu Mplaestina amesitisha mgomo uliodumu siku 103 wa kukataa kula baada ya idara ya magereza katika utawala wa Kizayuni wa Israel kusalimu amri mbele ya irada yake.
-
Uingereza na Palestina; miaka 103 baada ya Azimio la Balfour
Nov 04, 2020 03:14Juzi Jumatatu tarehe Pili Novemba ilisadifiana na kutimia mwaka wa 103 wa Azimio la Balfour.
-
Jihadul Islami: Nchi za Kiarabu zitabeba dhima ya mauaji ya Maher al-Akhras
Nov 03, 2020 03:35Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imesema tawala vibaraka za Kiarabu zitabeba dhima ya chochote kitakachompata matekani Mpalestina anayeshikiliwa katika korokoro ya utawala haramu wa Israel, Maher al-Akhras.
-
Hamas yasisitiza kuharakisha kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina
Nov 02, 2020 04:08Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametaka kuharakishwa kufikiwa ramani ya njia ya kitaifa ya Palestina.
-
Sisitizo la Rais mteule wa Bolivia la kuunga mkono kadhia ya Palestina
Nov 02, 2020 04:07Baada ya chama cha mrengo wa kushoto nchini Bolivia kuibuka mshindi katika uchaguzi wa Rais nchini humo, Luis Arce rais mteule wa nchi hiyo amesisitiza juu ya himaya na uungaji mkono wa nchi yake kwa kadhia ya Palestina katika majukwaa na duru zote za ndani na za kimataifa.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel
Nov 02, 2020 00:52Vijana watatu wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la al-Jalil, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina waandamana, wataka kuachiwa huru Maher al Akhras
Nov 01, 2020 04:37Wananchi wa Palestina wamefanya maandamano leo wakitangaza uungaji kono wao kwa matekani Mpalestina anayeshikiliwa katika korokoro ya utawala haramu wa Israel, Maher al Akhras.
-
UN: Inabidi utawala wa Kizayuni uchukuliwe hatua
Oct 31, 2020 04:07Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa iuchukulie hatua utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na jinai zake dhidi ya Wapalestina.
-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina: Baitul Muqaddas haitauzwa, si kwa amri ya Israel wala Marekani
Oct 27, 2020 03:54Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa Quds tukufu haitauzwa, si kwa amri ya Israel, serikali ya Marekani wala nchi nyingine yoyote duniani.