Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mahmoud Abbas: Marekani haisaidii juhudi za kurejesha amani Mashariki ya Kati

    Mahmoud Abbas: Marekani haisaidii juhudi za kurejesha amani Mashariki ya Kati

    Aug 30, 2019 22:14

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa Marekani haisaidii juhudi za kurejesha amani na usalama katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Makampuni ya Imarati yanunua ardhi za mji wa Quds kwa ajili ya Wazayuni

    Makampuni ya Imarati yanunua ardhi za mji wa Quds kwa ajili ya Wazayuni

    Aug 29, 2019 03:22

    Naibu Mwenyekiti wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina amesema kuwa makampuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua ardhi huko Quds na kisha kukabidhi umiliki wa ardhi hizo kwa Waisraeli.

  • Arab League: Uamuzi wa Marekani wa kulifuta jina la Palestina ni kitendo cha

    Arab League: Uamuzi wa Marekani wa kulifuta jina la Palestina ni kitendo cha "uadui"

    Aug 28, 2019 22:07

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imesema, uamuzi mpya uliochukuliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani wa kulifuta jina la Palestina katika orodha ya maeneo ya Magharibi ya Asia ni kitendo cha "uadui".

  • Marekani yafuta jina la Palestina katika orodha ya nchi za dunia

    Marekani yafuta jina la Palestina katika orodha ya nchi za dunia

    Aug 26, 2019 08:25

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imechukua hatua isiyo ya kawaida kwa kufuta jina la Palestina katika orodha ya nchi na maeneo mbalimbali ya dunia.

  • OIC: Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina

    OIC: Baitul Muqaddas (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina

    Aug 22, 2019 07:41

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuwa: Baitul Muqaddas utabakia daima kuwa mji mkuu wa Palestina.

  • Wabunge Waislamu wa Marekani watamka hadharani kuwa iko siku ya karibu wataizuru Palestina ikiwa huru

    Wabunge Waislamu wa Marekani watamka hadharani kuwa iko siku ya karibu wataizuru Palestina ikiwa huru

    Aug 18, 2019 22:13

    Wabunge wawili Waislamu katika Kongresi ya Marekani, ambao wamezuiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wametangaza hadharani kuwa, iko siku ya karibu mno, wataitembelea Palestina ikiwa huru.

  • Utawala wa Kizayuni unashirikiana na Trump katika hatua dhidi ya wabunge Waislamu katika Kongresi ya Marekani

    Utawala wa Kizayuni unashirikiana na Trump katika hatua dhidi ya wabunge Waislamu katika Kongresi ya Marekani

    Aug 17, 2019 03:20

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa haitawaruhusu wajumbe wawili wa Bunge la Marekani, Kongresi, kuingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Walowezi wa Kiyahudi wavamia Msikiti wa al Aqsa mara tatu siku ya Idi, wajeruhi makumi ya Waislamu

    Walowezi wa Kiyahudi wavamia Msikiti wa al Aqsa mara tatu siku ya Idi, wajeruhi makumi ya Waislamu

    Aug 11, 2019 22:14

    Walowezii zaidi ya 1700 wa Kiyahudi jana walivamia Msikiti wa al Aqsa mara tatu katika siku ya Idul Adh'ha na kuwajeruhi makumi ya Waislamu waliokwenda eneo hilo takatifu kwa ajili ya kufanya ibada.

  • Saeb Erakat: Mamlaka ya Ndani ya Palestina inafuatilia kuundwa nchi ya Palestina

    Saeb Erakat: Mamlaka ya Ndani ya Palestina inafuatilia kuundwa nchi ya Palestina

    Aug 05, 2019 03:45

    Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) ametangaza kuwa, mkakati wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kuhitimishwa uvamizi na ukaliaji mabavu wa Wazayuni na kuundwa nchi ya Palestina.

  • Waziri Mkuu wa Palestina: Bila mfumo wa madola mawili, Israel itafikwa na kifo cha kidemografia

    Waziri Mkuu wa Palestina: Bila mfumo wa madola mawili, Israel itafikwa na kifo cha kidemografia

    Jul 31, 2019 08:21

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mohammad Shtayyeh amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel utakabiliwa na "kifo cha kidemografia" ikiwa utakataa kuunga mkono suluhisho la kuwepo madola mawili, kwa ajili ya kutatua mgogoro wa miongo kadhaa baina yake na Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS