-
Haniya: Malengo ya Palestina ni suala la umma wote wa Kiislamu
Nov 24, 2018 10:13Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amehutubu katika Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran na kusema: "Utawala wa Kizayuni ni adui mkuu wa Umma wa Kiislamu."
-
Makubaliano ya usitishaji vita yamfanya Waziri wa Vita wa Israel ajiuzulu
Nov 14, 2018 11:05Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Liberman ametangaza kujiuzulu wadhifa wake eti kulalamikia hatua ya harakati za mapambano za Palestina ikiwemo Hamas kufikia makubaliano ya kusitisha vita na utawala huo dhalimu katika Ukanda wa Gaza kupitia upatanishi wa Misri.
-
Jeshi la Israel lawapiga risasi makumi ya wanafunzi wa Kipalestina
Nov 12, 2018 00:57Makumi ya wanafunzi wa Palestina wanauguza majeraha baada ya kumiminiwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jihad al-Islami yakosoa harakati za baadhi ya madola ya Kiarabu ya kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 11, 2018 04:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina amekosoa vikali madai batili ya baadhi ya nchi za Kiarabu yenye lengo la kuhalalisha hatua zao za kutaka kuufanya kuwa wa kawaida uhusiano wao na utawala haramu wa Israel.
-
Rais Mahmoud Abbas: Mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne' hautafanikiwa
Nov 11, 2018 04:17Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne' hautafanikiwa na kwamba, njama zilizoanza tangu kutolewa 'Tangazo la Balfour' mwaka 1917 zingali zinaendelea.
-
OIC yalaani mpango wa Brazil wa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi hiyo Quds
Nov 03, 2018 23:09Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imekosoa vikali kauli ya Rais mteule wa Brazil kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.
-
Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds
Nov 02, 2018 04:34Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.
-
Siasa zisizo na mantiki za Oman, Muscat yafuata mkumbo na kusombwa na njama ya "Muamala wa Karne"
Nov 02, 2018 02:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas huko Ramallah katika Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
PLO yapiga kura kutaka kusimamishwa uamuzi wa kuitambua Israel na kuhitimishwa makubaliano yote ya pande mbili
Oct 30, 2018 03:52Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO limepiga kura kupitisha uamuzi wa kusimamisha kuitambua rasmi Israel na kuhitimisha makubaliano yote iliyofikia harakati hiyo na Tel Aviv hadi utawala huo wa Kizayuni utakapoitambua nchi ya Palestina kulingana na mipaka ya mwaka 1967, na kuitambua Baitul Muqaddas Mashariki kuwa mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Jeshi la Israel laendeleza ukatili wake, laua Wapalestina 5 Ghaza
Oct 27, 2018 02:22Kwa akali Wapalestina watano wameuawa shahidi huku mamia ya wengine wakijeruhiwa baada ya jeshi la Israel kuwamiminia risasi na kuvurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamanaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.