-
Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina
Jan 19, 2018 00:44Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono Quds uliofanyika katika Chuo Kikuu cha al-Azhar huko Cairo Misri umesisitiza umuhimu wa kutangazwa Baytul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa milele wa Palestina.
-
Abbas: Quds inaweza kuwa lango la amani au vita, Trump achague
Jan 17, 2018 23:03Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amesema mji wa Baitul Muqaddad unaweza kuwa lango la kupatikana amani au kuibua vita, na Marekani ina khiari ya kuchagua njia inayoitaka.
-
Marekani yakosolewa kwa kuipunguzia msaada UNRWA
Jan 17, 2018 11:33Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wakimbizi wa Kipalestina limekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipunguzia msaada tasisi hiyo kwa zaidi ya asilimia 50.
-
Israel yaunga mkono rasmi ugaidi
Jan 14, 2018 10:31Mkuu wa kamati ya kushughulikia suala la mateka na Wapalestina wanaoachiliwa huru amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawasaidia kifedha Wazayuni wanaofanya jinai dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina
Jan 14, 2018 01:06Kaimu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Indonesia amesisitiza udharura wa kuchukuliwa hatua za kurejesha haki za taifa la Palestina na kusema bayana kwamba, daima Beitul-Muqaddas itaendelea kuwa mali ya Palestina.
-
Kazem Jalali: Palestina inapaswa kubakia kuwa kadhia muhimu zaidi katika jumuiya ya mabunge ya OIC
Jan 13, 2018 10:45Mkuu wa mkutano wa 39 wa Kamati ya Utendaji Jumuiya ya Mabunge ya Nchi za Kiislamu wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina inapaswa kuwa suala linalopewa kipaumbele zaidi katika utendaji wa Jumuiya ya Mabunge ya Nchi za Kiislamu.
-
Wakristo waendelea kuilaani Israel, waiambia Yerusalemu si mji wenu
Jan 13, 2018 04:19Askofu Mkuu wa Kanisa la Rome Orthodox linalojulikana kwa jina rasmi la Orthodox Catholic Church katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kwa mara nyingine tena amelaani jinai za Israel dhidi ya Wakristo na Waislamu na kusema kuwa, mji wa Quds (Yerusalemu) ni mali ya Wapalestina si mji wa Wazayuni.
-
Netanyahu: Makao ya Bunge na Serikali ya Israel yatakuwa Baitul Muqaddas
Jan 11, 2018 12:56Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema makao ya bunge na serikali ya utawala huo haramu yatahamishiwa mji wa Baitul Muqaddas.
-
EU kufanya mkutano wa dharura wa wafadhili wa Palestina
Jan 11, 2018 04:21Umoja wa Ulaya na Norway zinatazamiwa kufanya kikao cha dharura cha nchi wafadhili wa Palestina karibuni hivi, baada ya Marekani kutishia kuikatia misaada taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshuughulikia wakimbizi wa Kipalestina.
-
Iran na Misri zatoa wito wa kuendelea kuungwa mkono Palestina
Jan 09, 2018 12:28Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuendelea kuungwa mkono kadhia ya Palestina.