-
Utawala wa Kizayuni wakiri kuwauwa kwa umati Wapalestina
Jan 08, 2018 04:46Polisi ya utawala wa Kizayuni imetangaza kuwa Wapalestina 201 ambao kuanzia mwezi Oktoba mwaka 2015 walishiriki katika oparesheni dhidi ya utawala huo wameuliwa hadharani.
-
Maulamaa wa Palestina: Iran inaunga mkono kadhia ya Palestina
Jan 05, 2018 00:55Baraza la Maulamaa wa Kiislamu huko Palestina limetangaza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikiunga mkono kwa hali na mali kadhia ya Palestina.
-
Serikali ya Palestina yatakiwa kubatilisha mapatano na Israel kwa ajili ya Quds
Jan 03, 2018 00:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaka serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina inayoongozwa na Mahmoud Abbas kujiondoa katika Mapatano ya Oslo baina yake na utawala haramu wa Israel kama njia ya kulalamikia hatua ya Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupitisha muswada wa kudhibiti kikamilifu Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Kuitetea Palestina ndiko kumefanya maadui wachochee ghasia Iran
Jan 03, 2018 00:31Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni Wanamuqawama sambamba na kulaani machafuko yanayoendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini Iran, amesisitiza kuwa maadui Wamagharibi ndio waliochochea ghasia hizi kutokana na msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitetea Palestina na kuunga mkono harakati za muqawama.
-
Israel: Vita vijavyo kati yetu na HAMAS vitatudhoofisha kwa ndani
Jan 02, 2018 04:02Waziri wa Makazi wa Utawala Haramu wa Israel, Yoav Galant amesema kuwa uwezo wa shabaha wa makombora ya Brigedi ya Izzudeen Qassam tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, utaidhoofisha Israel kwa ndani.
-
Mahmoud Abbas: Wapalestina watabaki katika ardhi yao mpaka Palestina ikombolewe
Jan 01, 2018 04:42Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kwamba: Wapalestina wataendelea kubaki katika aradhi yao hadi Palestina itakapokombolewa.
-
Salah Zawawi asifu utendaji na mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu Palestina
Dec 31, 2017 11:20Balozi wa Palestina hapa mjini Tehran amesifu utendaji na mtazamo wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusiana na Palestina na makundi ya harakati ya Palestina.
-
Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa: Mji mkuu wa Palestina ni Quds Tukufu
Dec 31, 2017 00:00Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa amesisitiza kuwa, ulilmwengu unapaswa kufahamu kuwa, Quds Tukufu (Jerusalem) ni mji mkuu wa Palestina.
-
Kikao cha Bunge la Nchi za Kiarabu kwa jina la Palestina, kwa maslahi ya Israel
Dec 29, 2017 11:56Bunge la Nchi za Kiarabu lilikutana jana Alkhamisi katika mji mkuu wa Misri, Cairo kwa kaulimbiu ya: Quds, Mji Mkuu wa Milele wa Palestina. Hata hivyo kikao hicho kilibadilika na kuwa mahfali na medani na nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Zaidi ya Wapalestina 6,000 wametiwa nguvuni 2017; wanawake na watoto wanateswa kwenye jela za Israel
Dec 28, 2017 13:02Kituo maalumu cha Palestina kinachoshughulikia masuala ya mateka kimetangaza kuwa zaidi ya Wapalestina elfu sita wametiwa nguvuni na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwaka huu unaomalizika wa 2017.