-
Kongamano la Quds, Mji Mkuu wa daima wa Palestina
Dec 27, 2017 10:27Viongozi wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa, Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi pale rais wa Marekani atakapobatilisha uamuzi wake wa kuitambua Quds Tukufu kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'
Dec 27, 2017 03:50Mamia ya Wapalestina wamekamatwa na kuzuiliwa na maafisa usalama wa utawala haramu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Quds Tukufu kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni mapema mwezi huu.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea
Dec 27, 2017 00:20Viongozi kadhaa wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi utakapofutwa uamuzi uliotangazwa na rais wa Marekani wa kuitambua Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.
-
Velayati: Palestina ni kadhia nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 26, 2017 11:53Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa ameeleza kuwa Palestina inaendelea kuwa suala la kwanza linalouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Palestina: Uamuzi wa Guatemala kuuhamishia ubalozi wake Quds ni 'fedheha'
Dec 26, 2017 04:00Palestina imekosoa vikali hatua ya Guatemala ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kukitaja kitendo hicho kama 'fedheha'.
-
Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina
Dec 24, 2017 13:12Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.
-
Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)
Dec 24, 2017 13:11Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuvamia mji wa Baytullahm (Bethlehem) na kuwashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi Wapalestina waliokuwa wanaandamana kupinga siasa za kiuadui za Marekani dhidi ya eneo hilo takatifu.
-
Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia
Dec 24, 2017 12:13Wananchi wa Tunisia kwa mara nyingine wameshiriki katika maandamano makubwa ya kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ismail Haniya: Quds Tukufu iliyoungana ni mji Mkuu wa Palestina
Dec 23, 2017 11:53Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesema, mji wa Quds (Jerusalem) ulioungana ni mji mkuu wa nchi huru ya Palestina, na nchi za Kiislamu na Kiarabu hazitaipuuza Quds.
-
Mwaka 2017; mwaka mgumu zaidi wa kiuchumi na wa hali ya kibinadamu kwa Wapalestina wa Gaza
Dec 22, 2017 23:11Jamal Al Khudhr, mkuu wa kamati ya wananchi ya kukabiliana na mzingiro wa utawala wa Kizayuni amesema, mwaka 2017 ni mwaka mgumu zaidi kiuchumi na kwa hali ya kibinadamu kwa eneo la Ukanda wa Gaza.