Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Kikao cha Bunge la Nchi za Kiarabu kwa jina la Palestina, kwa maslahi ya Israel

    Kikao cha Bunge la Nchi za Kiarabu kwa jina la Palestina, kwa maslahi ya Israel

    Dec 29, 2017 11:56

    Bunge la Nchi za Kiarabu lilikutana jana Alkhamisi katika mji mkuu wa Misri, Cairo kwa kaulimbiu ya: Quds, Mji Mkuu wa Milele wa Palestina. Hata hivyo kikao hicho kilibadilika na kuwa mahfali na medani na nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Zaidi ya Wapalestina 6,000 wametiwa nguvuni 2017; wanawake na watoto wanateswa kwenye jela za Israel

    Zaidi ya Wapalestina 6,000 wametiwa nguvuni 2017; wanawake na watoto wanateswa kwenye jela za Israel

    Dec 28, 2017 13:02

    Kituo maalumu cha Palestina kinachoshughulikia masuala ya mateka kimetangaza kuwa zaidi ya Wapalestina elfu sita wametiwa nguvuni na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwaka huu unaomalizika wa 2017.

  • Kongamano la Quds, Mji Mkuu wa daima wa Palestina

    Kongamano la Quds, Mji Mkuu wa daima wa Palestina

    Dec 27, 2017 10:27

    Viongozi wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa, Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi pale rais wa Marekani atakapobatilisha uamuzi wake wa kuitambua Quds Tukufu kama mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'

    Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'

    Dec 27, 2017 03:50

    Mamia ya Wapalestina wamekamatwa na kuzuiliwa na maafisa usalama wa utawala haramu wa Israel tangu Rais Donald Trump wa Marekani aitangaze Quds Tukufu kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni mapema mwezi huu.

  • Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea

    Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea

    Dec 27, 2017 00:20

    Viongozi kadhaa wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi utakapofutwa uamuzi uliotangazwa na rais wa Marekani wa kuitambua Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Velayati: Palestina ni kadhia nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Velayati: Palestina ni kadhia nambari moja ya Ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 26, 2017 11:53

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa ameeleza kuwa Palestina inaendelea kuwa suala la kwanza linalouhusu Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Palestina: Uamuzi wa Guatemala kuuhamishia ubalozi wake Quds ni 'fedheha'

    Palestina: Uamuzi wa Guatemala kuuhamishia ubalozi wake Quds ni 'fedheha'

    Dec 26, 2017 04:00

    Palestina imekosoa vikali hatua ya Guatemala ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kukitaja kitendo hicho kama 'fedheha'.

  • Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina

    Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina

    Dec 24, 2017 13:12

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.

  • Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)

    Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)

    Dec 24, 2017 13:11

    Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuvamia mji wa Baytullahm (Bethlehem) na kuwashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi Wapalestina waliokuwa wanaandamana kupinga siasa za kiuadui za Marekani dhidi ya eneo hilo takatifu.

  • Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia

    Maandamano ya kuwapinga Wazayuni yaendelea nchini Tunisia

    Dec 24, 2017 12:13

    Wananchi wa Tunisia kwa mara nyingine wameshiriki katika maandamano makubwa ya kupinga jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS