-
Ismail Haniya: Quds Tukufu iliyoungana ni mji Mkuu wa Palestina
Dec 23, 2017 11:53Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesema, mji wa Quds (Jerusalem) ulioungana ni mji mkuu wa nchi huru ya Palestina, na nchi za Kiislamu na Kiarabu hazitaipuuza Quds.
-
Mwaka 2017; mwaka mgumu zaidi wa kiuchumi na wa hali ya kibinadamu kwa Wapalestina wa Gaza
Dec 22, 2017 23:11Jamal Al Khudhr, mkuu wa kamati ya wananchi ya kukabiliana na mzingiro wa utawala wa Kizayuni amesema, mwaka 2017 ni mwaka mgumu zaidi kiuchumi na kwa hali ya kibinadamu kwa eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Marekani yapata pigo jingine, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa launga mkono Quds
Dec 22, 2017 00:57Licha ya vitisho vilivyotolewa na Marekani dhidi ya wanachama wa Umoja wa Mataifa, lakini Baraza Kuu la umoja huo limepasisha kwa kauli moja azimio linaloitaka Marekani kufuta kauli yake ya kuitambua Quds kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Syria yaahidi kujibu jinai zote za Israel nchini humo
Dec 22, 2017 00:54Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ameuonya utawala wa Kizayuni na kuuhakikishia kuwa Damascus itajibu mashambulizi yote yanayofanywa na Israel katika ardhi ya Syria.
-
Mabunge ya nchi za Kiislamu yatakiwa kuingilia kadhia ya Palestina
Dec 20, 2017 23:12Mkuu wa Taasisi ya Utafiti ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameyataka mabunge ya nchi za Kiislamu kuingia kadhia ya Quds na Palestina ili kukabiliana na njama za Marekani za kutaka kuwapora Waislamu Kibla chao cha Kwanza.
-
Haniya: Quds ni Mji Mkuu wa Palestina na Waislamu wote
Dec 20, 2017 04:43Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa, "Quds Tukuf (Jerusalem) ni mji mmoja usioweza kugawanywa pande mbili za Mashariki na Magharibi na ni mji mkuu wa Wapalaestina na Waislamu wote."
-
Biashara ya Aal Saud na Marekani: Tutaiunga mkono Israel; mtuachie tufanye jinai Yemen
Dec 19, 2017 02:45Vitendo na misimamo ya ukoo wa Aal Saud kuhusiana na Quds na Yemen inathibitisha kwamba serikali za Saudia na Marekani zimefikia makubaliano maalumu ambayo matokeo yake ni kuwa, ukoo wa Aal Saud utaishia patupu.
-
Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds
Dec 18, 2017 23:20Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu imesisitiza kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel ni ukiukaji wa wazi wa haki za wananchi wa Palestina.
-
Utawala wa Kizayuni na utumiaji wa gesi za sumu dhidi ya Wapalestina
Dec 18, 2017 08:00Kitendo cha kiuadui cha rais wa Marekani, Donald Trump cha kuitangaza Quds tukufu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kimekiuka sheria na makubaliano yote ya kimataifa na kuandaa uwanja wa kufutwa kikamilifu taifa la Palestina katika uso wa dunia.
-
Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Kiislamu kufanyika kesho Tehran
Dec 17, 2017 10:43Kikao cha dharura cha kamati ya Palestina ya Muungano wa Kimataifa wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kinatarajiwa kufanyika kesho hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Maspika wa Mabunge ya nchi tatu za Iran, Mali na Iraq.