-
Taarifa ya mwisho ya kongamano la kimataifa la Umoja wa Wanazuoni wa Mapambano
Nov 03, 2017 23:10Kikao cha pili cha kimataifa cha Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Mapambano kimemalizika huko Beirut mji mkuu wa Lebanon kwa kutoa taarifa inayotetea na kuunga mkono Suasla la Palestina.
-
Richard Falk wa UN: Kurejea amani Palestina ni sharti kwanza ufutwe utawala wa kibaguzi wa Israel
Nov 03, 2017 03:58Ripota maalumu wa zamani wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu sambamba na kuashiria kuwa, umoja huo hauna haki ya kuainisha mustakbali wa taifa la Palestina, amesema kuwa ili kurejea usalama na amani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, ni sharti kwanza kuondoshwa utawala wa kibaguzi wa Israel ambao unazikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Hizbullah: Muqawama ndilo chaguo la pekee la Wapalestina
Nov 02, 2017 04:27Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuna haja ya kuendeleza mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa Wapalestina hawana chaguo jingine ghairi ya muqawama.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelea mapambano anuia dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 02, 2017 04:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili wa Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akisistiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
-
Ismail Haniya: jaribio la Israel la kumuua afisa mkuu wa HAMAS limefeli
Oct 28, 2017 04:34Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio umehusika katika jaribio la mauaji lililofeli dhidi ya afisa wa ngazi ya juu wa harakati hiyo.
-
Naibu Spika wa Palestina: Uingiliaji wa Kamati ya Kimataifa katika maridhiano ya kitaifa ni wa "kutupiliwa mbali".
Oct 27, 2017 23:08Naibu Spika wa Bunge la Palestina amesema, uingiliaji wa Kamati ya Kimataifa ya pande nne ya amani katika maridhiano ya kitaifa ya Wapalestina haukubaliki na kwamba wito wa kamati hiyo na utawala wa Kizayuni wa kutaka Hamas ipokonywe silaha ni wa "kutupiliwa mbali".
-
Naibu Mkuu wa HAMAS: Israel ndio "Hatari Kuu"
Oct 26, 2017 11:46Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amezitaka nchi na pande zote za eneo la Mashariki ya Kati zikubaliane na fikra kwamba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio "Hatari Kuu".
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa
Oct 22, 2017 11:02Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu la Kiislamu.
-
Abu Zuhri: Kinachoipambanua Iran na nchi nyingine, ni uungaji mkono wake wa wazi kwa taifa la Palestina
Oct 22, 2017 04:08Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, jambo liloipambanua Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine ni uungaji mkono wake wa wazi kwa malengo matukufu ya Palestina.
-
Hamas: Hakuna wa kutushurutisha tuvunje jeshi letu au tuitambue Israel
Oct 20, 2017 04:28Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuishurutisha harakati hiyo ya muqawama kuvunja tawi lake la kijeshi au kuutambua utawala haramu wa Israel kama masharti ya kukubali mapatano ya kitaifa ya Wapalestina.