-
UN yalaani Israel kuwazimia umeme Wapalestina Ghaza
Jun 15, 2017 02:55Umoja wa Mataifa umelaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuwazimia kwa muda mrefu umeme Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina
Jun 13, 2017 09:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuunga mkono shirika la umoja huo linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutoa wito wa kuvunjwa taasisi hiyo ya kimataifa.
-
Netanyahu atoa wito wa kuvunjwa UNRWA
Jun 11, 2017 22:53Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), linalowasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kipalestina.
-
Polisi ya Israel yafunga Msikiti wa al-Aqsa, wazuia ibada za Waislamu
Jun 11, 2017 09:36Maafisa wa polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamefunga na kuuzingira Msikiti wa al-Aqsa sambamba na kuwazuia waumini wa Kiislamu kuingia na kutoka kwenye msikiti huo, ambacho ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Hamas yakataa wito wa Shirika la Msalaba Mwekundu
Jun 10, 2017 23:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga wito uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu la kutaka kujua hatima ya askari wawili wa Kizayuni waliotoweka katika enro la Ukanda wa Gaza.
-
Palestina yataka Arab League iitishe kikao cha dharura kujadili ushawishi wa Israel Afrika
Jun 07, 2017 21:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina ametaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) iitishe kikao cha dharura kujadili kuenea satua na ushawishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika bara la Afrika.
-
Hasira za Israel baada ya Umoja wa Mataifa kuunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina
Jun 07, 2017 06:10Danny Danon Balozi wa Utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali matamshi ya katibu mkuu wa umoja huo Antonio Gutterres ambaye ameunga mkono uundwaji nchi huru ya Palestina.
-
HRW yalaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Jun 05, 2017 09:52Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali jinai, ukandamizaji, ubaguzi na ukaliwaji wa mabavu wa ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa zaidi ya miongo mitano sasa.
-
Ripoti: Wanajeshi wa Israel wameua watoto elfu 3 wa Kipalestina
Jun 01, 2017 09:55Wizara ya Habari ya Palestina imesema, watoto zaidi ya elfu tatu wa Kipalestina wameuliwa shahidi na jeshi katili la Israel tangu ilipoanza Intifadha ya Pili mwezi Septemba 2000.
-
Mayahudi waandamana kuunga mkono taifa la Palestina
May 28, 2017 09:09Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano mjini Tel Aviv kuunga mkono kuundwa taifa huru la Palestina sambamba na kulaani miaka 50 ya utawala haramu wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.