-
Ubomozi wa vituo vya afya na tiba Palestina na Yemen; sera za pamoja za Israel na Saudia
May 26, 2017 22:16Huku akiashiria mashambulio yanayolenga vituo vya afya na tiba na kisha kutolewa vijisababu kuwa yalifanyika kimakosa, mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa kwa mtazamo wa Iran, mashambulio hayo yanapaswa kulaaniwa kila sehemu yanapofanyika na hasa katika nchi za Palestina, Yemen na Syria.
-
Wazayuni wamuua shahidi Mpalestina mwingine
May 26, 2017 03:09Mpalestina mwingine amekufa shahidi siku chache baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kujeruhiwa vibaya.
-
Israel: Hatuhitaji baraka za Marekani kughusubu ardhi zaidi za Palestina
May 25, 2017 09:39Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv haihitaji baraka wala ruhusu ya Marekani ili kuendeleza ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
UN yaeleza wasi wasi wake kuhusu hali ya mateka wa Palestina
May 25, 2017 09:21Umoja wa Mataifa umeeleza wasi wasi wake kuhusu hali ya kiafya ya mateka wa Kipalestina waliosusia chakula katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mateka 60 wa Kipalestina waliogoma kula wahamishiwa hospitalini
May 25, 2017 03:21Mateka wasiopungua 60 wa Kipalestina miongoni mwa maelfu ya wafungwa hao waliosusia kula chakula katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel wamehamishiwa hospitalini baada ya hali zao kuzidi kuwa mbaya.
-
Mahmoud Abbas: Ukaliaji ardhi wa mabavu na ujenzi wa vitongoji ndilo tatizo kuu la Wapalestina
May 23, 2017 11:24Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, tatizo kuu la Wapalestina ni ukaliaji wa mabavu na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni unaofanywa na Israel katika ardhi za Palestina.
-
Ayatullah Araki asisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi za Kiislamu
May 17, 2017 23:05Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, nchi za Shirikisho la Urusi zinaweza kuwa na nafasi muhimu katika Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla katika kukuza uhusiano wa nchi za Kiislamu na vilevile kuinua kiwango chao cha nafasi ya kisiasa na kiuchumi duniani.
-
Chama cha Leba cha UK kuitambua Palestina kikiingia madarakani
May 16, 2017 23:09Chama cha Leba cha Uingereza kimesema kitaitambua Palestina iwapo kitaibuka mshindi katika uchaguzi wa Juni 8 nchini humo.
-
Makamu wa Rais Afrika Kusini asusia kula kuwaunga mkono Wapalestina waliogoma kula
May 15, 2017 09:40Makamu wa rais wa Afrika Kusini na mawaziri wengine nchini humo wamesusia chakula kama njia ya kuonyesha kufungamana kwao na Wapalestina waliogoma kula katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ulimwengu Wachukizwa na Utawala wa Kizayuni katika Siku ya Nakba
May 14, 2017 02:59Huku dunia ikikaribia kukumbuka mwaka wa 69 wa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina na baada ya hapo kuasisiwa utawala bandia wa Israel, siku ambayo Wapalestina wanaitaja kuwa siku ya Nakba yaani nakama au maafa, walimwengu wanashuhudia wimbi jipya la kimataifa la kuchikizwa na utawala wa Kizayuni na ongezeko la uungaji mkono kwa Wapalestina.