Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina

    Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina

    Apr 26, 2017 22:16

    Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema Palestina itaweza kusaidika iwapo kutakuwa na umoja katika ulimwengu wa Kiislamu huku akitoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina.

  • Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina

    Marwan Al-Barghuthi ayaandikia barua mabunge ya dunia kuomba uungaji mkono kwa wafungwa wa Palestina

    Apr 25, 2017 22:02

    Marwan Al-Barghuthi, Mpalestina anayesusia kula ambaye anashikiliwa kwenye gereza la utawala wa Kizayuni wa Israel ameyaandikia barua mabunge ya dunia akiyaomba yawaunge mkono Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala huo haramu.

  • Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina

    Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina

    Apr 18, 2017 03:40

    Wimbi la unyanyasaji dhidi ya viongozi wa mateka wa Kipalestina katika jela za kutisha za Israel limeendelea kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu kuwahamishia mateka wa Palestina wanaogoma kula katika jela ya kuogofya ya Jalama ya Kizayuni.

  • Wapalestina 400 wakamatwa kwa kutumia Facebook kupinga Israel

    Wapalestina 400 wakamatwa kwa kutumia Facebook kupinga Israel

    Apr 16, 2017 22:24

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakamata Wapalestina 400 kwa sababu ya kuandika maneno yaliyo dhidi ya utawala huo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.

  • Israel iliteka nyara Wapalestina 500 mwezi Machi

    Israel iliteka nyara Wapalestina 500 mwezi Machi

    Apr 11, 2017 02:01

    Utawala wa Kizayuni wa Israel uliwateka nyara Wapalestina 509 katika Ukanda wa Ghaza, Ukingo wa Magharibi na Quds Tukufu mwezi uliopita wa Machi.

  • Jumuiya ya Wafanyakazi Norway yataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina

    Jumuiya ya Wafanyakazi Norway yataka kutambuliwa rasmi nchi ya Palestina

    Apr 08, 2017 22:10

    Jumuiya ya Wafanyakazi nchini Norway imetoa wito wa katambulwia rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Brazil yalaani ujenzi mpya wa nyumba za Mayahudi Ukingo wa Magharibi

    Brazil yalaani ujenzi mpya wa nyumba za Mayahudi Ukingo wa Magharibi

    Apr 05, 2017 03:17

    Brazil imelaani uamuzi uliopasishwa hivi karibuni na baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv

    EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv

    Apr 04, 2017 11:21

    Katika hali ambayo Marekani imezungumzia mpango wa kuhamishia ubalozi wake ulioko Israel kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds tukufu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, Umoja wa Ulaya umesema nchi wanachama wake hazitofuata sera hizo za Washington.

  • UN: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za dhati kukomesha kukaliwa kwa mabavu Palestina

    UN: Jamii ya kimataifa ichukue hatua za dhati kukomesha kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Apr 03, 2017 09:33

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuchukua hatua nyingi zaidi mbali ya maazimio na kutoa taarifa tu ili kukomesha kukaliwa kwa mabavu Palestina na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.

  • Hati mpya ya Kisiasa ya HAMAS: Wakimbizi wa Kipalestina warejee kwenye ardhi zao za asili

    Hati mpya ya Kisiasa ya HAMAS: Wakimbizi wa Kipalestina warejee kwenye ardhi zao za asili

    Apr 03, 2017 03:14

    Baadhi ya vifungu vya hati mpya ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS vimetangazwa vikisisitizia haki ya wakimbizi wote wa Kipalestina walioko maeneo tofauti duniani kurejea kwenye ardhi zao za asili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS