-
Mayahudi waandamana Quds kulaani ukaliaji wa mabavu wa Palestina
Apr 02, 2017 03:36Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano katika eneo la Quds tukufu kulaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Israel inakalia kwa mabavu asilimia 85 ya ardhi za Palestina
Mar 30, 2017 02:21Utawala wa Kizayuni wa Israel unakalia kwa mabavu asilimia 85 ya ardhi zote za Wapalestina.
-
Wamarekani waandamana Washington dhidi ya lobi ya Kizayuni
Mar 27, 2017 03:16Wanaharakati wanaounga mkono Palestina wamefanya maandamano nje ya ukumbi kunakofanyika kongamano la lobi ya Kizayuni ya Kamati ya Marekani na Israel ya Masuala ya Umma (AIPAC) mjini Washington.
-
Askari wa Israel wamuua shahidi kijana mwengine Mpalestina, ujenzi wa vitongoji waongezeka kwa asilimia 40
Mar 24, 2017 00:00Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameishambulia kwa risasi gari moja kaskazini mwa Ramallah katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na kupelekea kuuawa shahidi kijana mmoja Mpalestina na kujeruhiwa wengine watatu.
-
Ripota wa UN: Israel ni mvamizi mbaya zaidi katika historia
Mar 21, 2017 22:45Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema kuwa uvamizi wa Israel dhidi ya Palestina ulioanza zaidi ya miongo sita iliyopita ndio mbaya na machafu zaidi duniani.
-
Rais wa Misri akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Cairo katika anga ya hitilafu
Mar 21, 2017 04:04Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri huko mjini Cairo, huku kukiwepo na tofauti baina yao.
-
Wapalestina waandamana kulaani ukatili wa Israel
Mar 19, 2017 00:56Mamia ya Wapalestina wameshiriki katika mazishi ya kiijana aliyeuawa kwa kupigwa risasia na vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Al Khalil huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid
Mar 17, 2017 23:19Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) amejizulu wadhifa wake baada ya Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres kutoa amri ya kufutwa ripoti ya kamati hiyo inayoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi, Apartheid.
-
Wapalestina waushitaki utawala haramu wa Israel katika mahakama ya ICC
Mar 17, 2017 23:18Mwenyekiti wa Kituo cha Haki za Binadamu cha Palestina Radhi al Surani amesema kuwa kutuo hicho kimewasilisha mashtaka sita dhidi ya utawala haramu wa Isarel katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Afrika Kusini yaunga mkono mpango wa kuasisiwa nchi huru ya Palestina
Mar 17, 2017 13:08Afrika Kusini imesisitiza kuwa inaunga mkono suala la kuasisiwa nchi huru ya Palestina ili kuhitimisha mzozo wa Mashariki ya Kati.