Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli

    Mazungumzo ya mapatano; mchakato wenye uhakika wa kufeli

    May 29, 2016 23:51

    Katika muendelezo wa radiamali na hisia zinazoonyeshwa na fikra za wananchi pamoja na makundi ya muqawama ya Palestina kuhusiana na harakati zenye lengo la kufufua mazungumzo ya mapatano kati ya Mamlaka ya Ndani na utawala wa Kizayuni, harakati ya Jihadul Islami ya Palestina, nayo pia imesisitiza kuwa mwisho wa mazungumzo hayo ni kugonga mwamba na kufeli tu.

  • Hamas yakaribisha juhudi za kufikia umoja wa kitaifa Palestina

    Hamas yakaribisha juhudi za kufikia umoja wa kitaifa Palestina

    May 29, 2016 02:55

    Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amekaribisha juhudi zozote zenye lengo la kufanikisha umoja wa kitaifa na kuhitimisha mgawanyiko na hitilafu za ndani kati ya Wapalestina.

  • Mahmoud Abbas asisitiza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa Palestina

    Mahmoud Abbas asisitiza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa Palestina

    May 28, 2016 23:43

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametaka kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa ambayo itafanya kazi kulingana na ratiba na mipango ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO).

  • Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel

    Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel

    May 27, 2016 03:21

    Uholanzi imekataa wito wa utawala wa kibaguzi wa Israel wa kupiga marufuku kampeni inayozidi kupanuka ya kimataifa ya kutaka walimwengu wasusie bidhaa za Israel.

  • Palestina: Baraza jipya la mawaziri la Israel tishio kwa eneo

    Palestina: Baraza jipya la mawaziri la Israel tishio kwa eneo

    May 25, 2016 09:56

    Katibu Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, baraza jipya la mawaziri la utawala haramu wa Israel ni tishio kwa usalama na utulivu wa eneo zima la Mashariki ya Kati.

  • Mamlaka ya Palestina yakataa takwa la Israel la mazungumzo ya ana kwa ana

    Mamlaka ya Palestina yakataa takwa la Israel la mazungumzo ya ana kwa ana

    May 24, 2016 11:50

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Rami Hamdallah amekataa takwa la utawala wa Kizayuni wa Israel la kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na mamlaka hiyo.

  • Bunge la Ureno launga mkono 'Mshikamano na Taifa la Palestina'

    Bunge la Ureno launga mkono 'Mshikamano na Taifa la Palestina'

    May 17, 2016 03:22

    Bunge la Ureno limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura rasimu ya mpango wa kuonesha mshikamano na taifa la Palestina na kulaani ukiukaji wa haki zao za msingi unaofanywa katika ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Wapalestina  waandamana Siku ya Nakba, wasisitiza mapambano dhidi ya Israel

    Wapalestina waandamana Siku ya Nakba, wasisitiza mapambano dhidi ya Israel

    May 15, 2016 23:05

    Wapalestina wameandamana Jumapili katika maeneo mbalimbali ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 68 tangu ulipoundwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.

  • Hizbullah itaendelea kuunga mkono taifa la Palestina katika mapambano dhidi ya Israel

    Hizbullah itaendelea kuunga mkono taifa la Palestina katika mapambano dhidi ya Israel

    May 15, 2016 09:43

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu kuendelea kuunga mkono mapambano ya taifa linalodhulumiwa la Palestina katika makabiliano yake na utawala ghasibu wa Israel unaokalia Quds Tukufu kwa mabavu.

  • Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi

    Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi

    May 14, 2016 09:55

    Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana walowezi wa Kizayuni wenye chuki za kidini na kitaifa, wamefanya mashambulizi katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS