-
Maandamano ya Wapalestina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuvamiwa na kukaliwa kwa mabavu Palestina
May 13, 2016 23:21Leo Jumamosi tarehe 14 Mei, inasadifiana na kuwadia mwaka wa 68 tangu kuvamiwa na kuanza kukaliwa kwa mabavu Palestina; na tayari migomo na maandamano yameanza kufanyika katika pande zote mbili za ardhi za Palestina, kuanzia zile zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na kupewa jina la Israel na zile zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1967 za Ukanda wa Gaza na Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kasisi mmoja Mzayuni akumbwa na kashfa ya fedha, maadili
May 12, 2016 23:40Kasisi mmoja Mzayuni ambaye ni mtu wa karibu sana na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekumbwa na kashfa za fedha na maadili.
-
Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina
May 10, 2016 23:47Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.
-
Livingstone: Kubuniwa Israel ni janga kubwa duniani
May 07, 2016 03:41Meya wa zamani wa London nchini Uingereza amesema kuanzishwa utawala haramu wa Israel ni janga kubwa la kihistroria ambalo taathira zake hasi zinaendelea kushuhudiwa.
-
Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali
May 06, 2016 23:50Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mashambulizi yake mapya katika Ukanda wa Gaza huku uvamizi huo mpya wa Tel Aviv katika eneo hilo ukiingia siku yake ya nne Jumamosi.
-
Israel yazuia wakaguzi wa UN kuchunguza mateso katika jela zake
May 05, 2016 04:10Utawala wa Kizayuni wa Israel umekaidi matakwa ya Umoja wa Mataifa ya kuchunguzwa mateso wanayoyapata Wapalestina katika jela za utawala huo dhalimu.
-
Ban atiwa uchungu na suala la wakimbizi wa Palestina
May 05, 2016 00:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ameeleza kutiwa uchungu na suala la hatima ya wakimbizi wa Palestina wapatao milioni 5.2, ambalo halijapatiwa suluhu kwa muda mrefu.
-
Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina
May 04, 2016 09:56Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republican anayewania kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kupitia chama hicho ameutaka utawala haramu wa Israel uendeleze ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina
May 02, 2016 23:29Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kueneza uongo dhidi ya Wapalestina.
-
Ugaidi unaenea kutokana na hitilafu za kimadhehebu, kikaumu katika nchi za Kiislamu
May 02, 2016 23:28Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, ugaidi unaenea Mashariki ya Kati kutokana na hitilafu za kikaumu na kimadhehebu katika nchi za Kiislamu.