Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Misimamo ya Iran katika kikao cha wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)

    Misimamo ya Iran katika kikao cha wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)

    Mar 07, 2016 23:41

    Kikao cha tano cha dharura cha wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kilianza Jumatatu ya jana katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.

  • Israel imeua watoto 41 Wapalestina kwa muda wa miezi mitano

    Israel imeua watoto 41 Wapalestina kwa muda wa miezi mitano

    Mar 06, 2016 03:38

    Utawala haramu wa Israel umeua watoto 41 Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.

  • Kuendelea harakati za kimataifa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Palestina

    Kuendelea harakati za kimataifa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Palestina

    Mar 01, 2016 23:17

    Kuendelea hatua zisizo za kibinadamu za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kuendelea mzingiro dhidi ya Gaza na vile vile hujuma na uvamizi wa mara kwa mara wa utawala huo dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanyika kwa baraka za Marekani, kumelifanya eneo hilo kukabiliwa na hali mbaya mno ya kibinadamu.

  • Wapalestina wamkosoa Kenyatta kwa kutembelea Israel

    Wapalestina wamkosoa Kenyatta kwa kutembelea Israel

    Feb 26, 2016 12:45

    Maafisa wa serikali ya Palestina wamemkosoa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kutembelea vitongoji haramu huko Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Sheikh Ikrima Sabri: Israel imeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi za Kiislamu, Palestina

    Sheikh Ikrima Sabri: Israel imeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi za Kiislamu, Palestina

    Feb 25, 2016 11:58

    Mufti Mkuu wa msikiti mtukufu wa Al-Aqsa na mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Baitul Muqaddas ametangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi na athari za Kiislamu za Palestina.

  • Rais wa zamani wa Sudan ataka Waislamu waungane dhidi ya Israel

    Rais wa zamani wa Sudan ataka Waislamu waungane dhidi ya Israel

    Feb 24, 2016 11:04

    Rais wa zamani wa Sudan, Abdurahman Suwar al-Dhahab ametoa wito wa kuweko mshikamano baina ya Waislamu ili kuweza kuzima njama za utawala haramu wa Israel dhidi yao.

  • Israel yawafungia watoto zaidi  wa Palestina huko Quds

    Israel yawafungia watoto zaidi wa Palestina huko Quds

    Feb 24, 2016 11:03

    Waziri wa Palestina anayeshughulikia hali ya wafungwa walioko kwenye jela za utawala haramu wa Israel amesema leo kuwa watoto wasiopungua 60 wa Kipalestina wamewekwa chini ya vifungo vya nyumbani katika mji wa Quds.

  • Tahadhari kuhusu hali mabaya ya watu wa Ghaza

    Tahadhari kuhusu hali mabaya ya watu wa Ghaza

    Feb 23, 2016 00:09

    Harakati za Kiislamu na kitaifa za Palestina zimetahadharidha kuhusu hali mbaya ya watu wa eneo la Ukanda wa Gaza kutokana na mzingiro wa kidhalimu wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.

  • Israel yaiomba Ujerumaini iisaidie kuzungumza na HAMAS kuhusu kubadilishana mateka

    Israel yaiomba Ujerumaini iisaidie kuzungumza na HAMAS kuhusu kubadilishana mateka

    Feb 17, 2016 11:41

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameiomba Ujerumani iinasihi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ikubali kubadilishana mateka wa Kipalestina kwa viwiliwili vya wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni vilivyoko mikononi mwa Hamas.

  • Misri yafunga tena kivuko cha Rafah

    Misri yafunga tena kivuko cha Rafah

    Feb 17, 2016 03:41

    Misri imefunga tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina walio chini ya mzingiro huko Ghaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS