-
Sababu za kusalia imara Muqawama-2
Nov 16, 2024 23:09Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika sehemu nyingine ya kipindi chetu cha leo ambacho kinaendelea kuzungumzia sababu za kuendelea kusimama imara kambi ya Muqawama dhidi ya mabeberu na utawala wa Kizayuni wa Israel...
-
Iran yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua za kukomesha jinai za Israel
Nov 16, 2024 09:03Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za lazima ili kukomesha jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Kupasishwa azimio jipya la Umoja wa Mataifa la kuwaunga mkono Wapalestina
Nov 16, 2024 08:30Kamati ya Haki za Binadamu na Masuala ya Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio na kusisitiza kuwa wananchi wa Palestina wana haki ya kujiainishia mustakbali wao katika ardhi za Palestina, na kwamba wana haki ya kuwa huru, kujitawala na kujikomboa haraka kutoka katika makucha ya ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni.
-
Palestina yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni kuhusu kitongoji cha al-Bastan
Nov 16, 2024 03:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetahadharisha kuhuusu uharibifu huo kamili wa kitongoji cha al-Bastan cha Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala pandikizi wa Israel na hasa baada ya Wapalestina 1,500 kulazimishwa kuyahama makaazi yao.
-
Arab League: Kunyamazia kimya hali ya Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai
Nov 11, 2024 04:23Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesemam kuwa kukaa kimya mkabala wa jinai zinazotekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Lebanon ni sawa na kushiriki katika jinai hizo.
-
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu Duniani watoa wito wa kusaidiwa taifa la Palestina
Nov 08, 2024 04:02Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu Duniani umezitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua ya kulisaidia taifa la Palestina dhidi ya jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mashabiki wa Kizayuni wachezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina
Nov 08, 2024 04:01Mashabiki wa mpira wa Kizayuni waliokuwa wakitizama mechi ya soka katika mji wa Amsterdam nchini Uholanzi wameshambuliwa na kuchezea kipigo baada ya kuivunjia heshima bendera ya Palestina.
-
Ireland kuwa na balozi wa kwanza wa Palestina
Nov 06, 2024 22:58Serikali ya Ireland imeafiki kuteuliwa balozi wa Palestina kwa mara ya kwanza katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Yahya Sinwar; Nembo ya Istiqama ya Palestina na Kusimama Imara Kukabiliana na Ughasibu
Nov 06, 2024 07:56Natumai hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio kipindi hiki maalumu, ambacho kitasimulia maisha na ushujaa wa Yahya Sinwar, mmoja wa viongozi watajika wa Kambi ya Muqawama na miongoni mwa waasisi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.
-
Ripoti: Israel imevurumishiwa makombora 26,000 tokea Oktoba 7
Nov 03, 2024 03:14Makombora zaidi ya 26,000 yamevurumishwa kuelekea katika maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu (Israel), tokea utawala huo wa Kizayuni uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba mwaka jana.