-
Bagheri Kani: Mataifa ya eneo yachukue hatua za kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Jun 20, 2024 09:18Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, hali ya eneo na maslahi ya mataifa ya eneo hili yanahitaji kutumia uwezo wao wote kusimamisha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza na kuwaunga mkono wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Umoja wa Mataifa: Vita vimeigeuza Gaza kuwa Jahanamu ya duniani
Jun 17, 2024 23:13Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vita vimeligeuza eneo la Ukanda wa Gaza kuwa Jahanamu ya duniani.
-
Jeshi la Yemen: Meli mbili zinazozama ni zawadi yetu ya Idi kwa muqawama wa Palestina
Jun 16, 2024 23:49Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa, meli mbili zinazozama ni zawadi ya Eid al-Adh'haa ya jeshi la Yemen kwa muqawama wa Palestina kutokana na kusimama kwao kidete.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania ayataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina
Jun 14, 2024 04:02Pedro Sanchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameyataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina kama nchi na dola huru.
-
Walimwengu waandamana wakilaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jun 12, 2024 03:52Maandamano ya kupinga na kulaani mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza yanaendelea kufanyika katika nchi tofauti za dunia.
-
Msimamo wa Makundi ya Mapambano ya Palestina Kuhusu Azimio la UN
Jun 11, 2024 23:24Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa mjibizo kwa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupitisha azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu matukio ya Ghaza kwa kusisitiza kuwa: azimio hilo linahitaji hakikisho la utekelezaji.
-
Haniya: HAMAS haitasalimu amri, itaendeleza muqawama
Jun 09, 2024 23:53Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama katu halitasalimu amri, bali litaendeleza mapambano yake kwa nguvu zote.
-
Mikakati athirifu ya Iran ya kutatua migogoro ya kikanda na Palestina
Jun 02, 2024 23:30Katika miaka ya hivi karibuni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na mikakati madhubuti na athirifu katika matukio ya kieneo na kimataifa ikiwemo kadhia ya Palestina.
-
Kuendelea uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza
Jun 02, 2024 03:01Wananchi wa maeneo tofauti ya dunia wanaendela kufanya maandamano na mikusanyiko kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu na wanaosimama imara wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza juu ya kusimamishwa jinai za utawala wa Kizayuni katika ukanda huo.
-
Jihadul-Islami: Tunautazama mpango uliopendekezwa na Biden kwa 'jicho la shaka'
Jun 01, 2024 07:43Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema inautazama kwa jicho la shaka mpango uliotangazwa na Rais wa Marekani kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ghaza.