-
Netanyahu ashikilia msimamo wake wa kupinga kuundwa nchi huru ya Palestina
Apr 05, 2024 23:09Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amerudia tena msimamo wake wa kupinga katakata kuundwa nchi huru ya Palestina alipokutana na ujumbe wa Marekani wa wabunge wa chama cha Republican.
-
Siku ya Quds; ubunifu wa kimataifa na mojawapo ya mifano ya kihistoria ya uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Apr 04, 2024 22:47Siku ya Kimataifa ya Quds ni ubunifu wa kwanza ulioonyeshwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa siasa za nje mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Waislamu DRC ni waungaji mkono wa Quds na kadhia nzima ya Palestina + Video
Apr 04, 2024 08:08Masheikh wawili maarufu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamezungumzia umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na uungaji mkono wa Waislamu wa nchi hiyo kwa kadhia nzima ya Palestina hususan Ghaza.
-
Yemen: Siku ya Kimataifa ya Quds imeibakisha hai kadhia ya Palestina
Apr 04, 2024 08:01Katibu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds imeyabakisha hai mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah
Apr 01, 2024 03:22Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na Gaza yafanyika katika nchi mbalimbali
Mar 31, 2024 07:58Wananchi huko Italia, Norway, Marekani, Japan na Morocco kwa mara nyingine tena wameandamana kulaani mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina yanayofanywa na wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Licha ya kuikosoa Israel hadharani, Biden ameidhinisha kwa siri silaha mpya za kuwaulia Wapalestina
Mar 30, 2024 22:48Rais Joe Biden wa Marekani hivi karibuni ameidhinisha kwa siri kupatiwa utawala wa Kizayuni wa Israel silaha mpya za kivita zenye gharama ya mabilioni ya dola zikiwemo aina za kisasa za mabomu na ndege za kivita.
-
Meja Jenerali Bagheri: Jibu la Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni mauaji ya watu wasio na hatia
Mar 29, 2024 22:58Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema kuwa, jibu la utawala wa Kizayuni wa Israel kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni kuwaua tu watu wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, kuharibu hospitali na kusababisha njaa.
-
Spika Qalibaf: Ulimwengu wote wa Kiislamu una wajibu wa kuunga mkono Muqawama wa taifa la Palestina
Mar 29, 2024 04:31Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amepongeza istikama na kusimama imara kusio na mfano kwa Muqawama na wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na akasema, Ulimwengu mzima wa Kiislamu una wajibu wa kuliunga mkono taifa la Palestina katika vita visivyo na mlingano na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wapalestina: Gati ya muda inayotaka kujenga Marekani Ghaza ni "Bandari ya Uvamizi"
Mar 29, 2024 03:54Wapalestina wanaielezea gati ya muda inayojengwa na Marekani kwenye pwani ya mji wa Ghaza kuwa ni "bandari ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu".