Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kuongezeka Waislamu wanaounga mkono muqawama wa Palestina ni dhihirisho la Mwamko wa Kiislamu

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kuongezeka Waislamu wanaounga mkono muqawama wa Palestina ni dhihirisho la Mwamko wa Kiislamu

    Oct 13, 2023 08:41

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kujitokeza wimbi kubwa na uungaji mkono wa Waislamu katika maeneo mbalimbali duniani kwa mapambano ya wananchi wa Palestina ni jambo lenye baraka na la kusifiwa linalodhihirisha mwamko wa Kiislamu.

  • Maelfu ya Watunisia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina

    Maelfu ya Watunisia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina

    Oct 13, 2023 03:43

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano wakionyesha mshikamano wao na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina sanjari na kulaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.

  • Iran: Mapambano dhidi ya Israel yanaweza kuchukua mkondo mpana

    Iran: Mapambano dhidi ya Israel yanaweza kuchukua mkondo mpana

    Oct 13, 2023 00:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambayo yameutumbukiza Ukanda wa Gaza katika vita haribifu na vya kuogofya, huenda yakachukua mikondo mipya na mipana zaidi.

  • Tovuti ya Marekani

    Tovuti ya Marekani "The Grayzone" yafichua chanzo cha uongo wa Biden kuhusu kukatwa vichwa watoto wa Israel

    Oct 12, 2023 08:38

    Tuvuti ya habari ya Marekani imefichua ukweli kuhusu uongo uliosemwa na Rais Joe Biden alipodai kuwa wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) waliwakata vichwa watoto wadogo wakati wa operesheni ya kijeshi ya Kimbunga cha al Aqsa Jumamosi iliyopita.

  • Putin: Israel imepora ardhi halali ya Wapalestina kwa kutumia jeshi

    Putin: Israel imepora ardhi halali ya Wapalestina kwa kutumia jeshi

    Oct 11, 2023 23:02

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema utawala haramu wa Israel umenyakua sehemu kubwa ya ardhi ya halali ya Wapalestina kwa kutumia vikosi vya jeshi la utawala huo wa Kizayuni.

  • Kan'ani: Sauti ya Kushindwa Wazayuni imesikiwa na walimwengu

    Kan'ani: Sauti ya Kushindwa Wazayuni imesikiwa na walimwengu

    Oct 11, 2023 09:07

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa mauaji yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandishi wa habari hayatazuia kufichuliwa ukubwa wa kushindwa kwa utawala huo na jinai zake na kuongeza kuwa: Msingi unaolegalega wa utawala dhalimu na bandia wa Israel unatetereka zaidi, na sauti za kufeli na kushindwa kwake kijeshi na kijasusi imefika kwenye masikio ya walimwengu.

  • Wapalestina waandamana Ukingo wa Magharibi kuwaunga mkono wenzao wa Ghaza

    Wapalestina waandamana Ukingo wa Magharibi kuwaunga mkono wenzao wa Ghaza

    Oct 11, 2023 04:34

    Raia wa Palestina wamefanya maadnamano katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kuonyesha uungaji mkono wao kwa wenzao wa Ukanda wa Ghaza sambamba na kuyaunga mkono makundi ya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Iran: Wapalestina wana haki kisheria ya kujihami na uvamizi na kukaliwa ardhi zao na Israel

    Iran: Wapalestina wana haki kisheria ya kujihami na uvamizi na kukaliwa ardhi zao na Israel

    Oct 10, 2023 23:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, akieleza wasiwasi alionao kuhusu hujuma na jinai za kutisha zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel, na kusisitiza kwamba wananchi wa Palestina wana haki ya kisheria ya kujihami dhidi ya aina yoyote ya uchokozi na kukaliwa ardhi zao kwa mabavu.

  • Vladimir Putin: Wakati umefika wa kutangazwa nchi huru ya Palestina

    Vladimir Putin: Wakati umefika wa kutangazwa nchi huru ya Palestina

    Oct 10, 2023 23:27

    Rais Vladimir Putin wa Russia amezungumzia kushindwa siasa za kibeberu za rais wa Marekani, Joe Biden za kuingilia masuala ya eneo la Asia Magharibi na kutilia mkazo wajibu wa kutekelezwa maamizio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yanayosisitizia kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Israel itachapwa

    Kiongozi wa Mapinduzi: Israel itachapwa "kibao kikali zaidi" kwa mauaji ya halaiki inayofanya Ukanda wa Gaza

    Oct 10, 2023 11:08

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Israel itachapwa "kibao kikali zaidi" kwa mauaji inayoendelea kufanya dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza iliouwekea mzingiro.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS