Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Iran yataka kusitishwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina Lebanon

    Iran yataka kusitishwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina Lebanon

    Aug 04, 2023 04:27

    Msemaji wa Wiziara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatoa mwito wa kukomeshwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Ain Al-Hilweh nchini Lebanon.

  • Pango la Simba: Tutafanya operesheni nyingi zaidi dhidi ya Israel

    Pango la Simba: Tutafanya operesheni nyingi zaidi dhidi ya Israel

    Jul 29, 2023 06:43

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina ya Arin al Usud (Pango la Simba) imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba ujiandae kupokea vipigo vikali zaidi kutoka kundi hilo la mapambano.

  • Iran: Israel ikomeshe ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu

    Iran: Israel ikomeshe ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu

    Jul 28, 2023 08:40

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusisitiza kuwa, mgogoro wa Palestina unaweza kupatiwa ufumbuzi tu kupitia kuhitimishwa ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Wapalestina unaofanywa na Wazayuni maghasibu.

  • Ripoti: Israel imeua Wapalestina 200 na kukamata watoto 570, 2023

    Ripoti: Israel imeua Wapalestina 200 na kukamata watoto 570, 2023

    Jul 24, 2023 07:31

    Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi mamia ya Wapalestina kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu 2023 hadi sasa.

  • NAM yasisitiza ulazima wa kulindwa haki za watu wa Palestina

    NAM yasisitiza ulazima wa kulindwa haki za watu wa Palestina

    Jul 08, 2023 10:48

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), wameeleza katika taarifa ya mwisho ya mkutano ulofanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku, kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi zaidi kimataifa za kutafuta njia ya ufumbuzi wa kiuadilifu utakaohakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao.

  • NAM yatoa wito wa kufanywa juhudi zaidi kimataifa kuhakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao

    NAM yatoa wito wa kufanywa juhudi zaidi kimataifa kuhakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao

    Jul 07, 2023 23:54

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, wameeleza katika taarifa ya mwisho ya kikao chao kilichofanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi zaidi kimataifa za kutafuta njia ya ufumbuzi wa kiuadilifu utakaohakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao.

  • Utawala wa Israel umeambulia patupu katika jinai zake dhidi ya Wapalestina huko  Jenin

    Utawala wa Israel umeambulia patupu katika jinai zake dhidi ya Wapalestina huko Jenin

    Jul 06, 2023 23:37

    Oparesheni ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imemalizika baada ya siku 2, na kwa mujibu wa Wazayuni, operesheni hiyo haijafanikiwa chochote.

  • Sekretarieti ya Intifadha ya Palestina: Muqawama wa Palestina unatoa vipigo vikali kwa adui Mzayuni

    Sekretarieti ya Intifadha ya Palestina: Muqawama wa Palestina unatoa vipigo vikali kwa adui Mzayuni

    Jul 05, 2023 22:49

    Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ya Bunge la Iran imetangaza katika taarifa yake kuwa: Hii leo muqawama wa Palestina umefikia kiwango cha juu cha ukomavu na kuimarika kiasi kwamba unaweza kutoa kipigo kwa adui Mzayuni popote pale na wakati wowote.

  • Jenerali Qaani: Vijana wa Palestina wametoa pigo kwa Wazayuni

    Jenerali Qaani: Vijana wa Palestina wametoa pigo kwa Wazayuni

    Jul 05, 2023 07:17

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amewapongeza vijana wa Palestina kwa kupambana kishujaa na kupata ushindi mkabala wa Wazayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Muqawama wawapongeza Wapalestina kwa ushindi mkubwa Jenin

    Muqawama wawapongeza Wapalestina kwa ushindi mkubwa Jenin

    Jul 05, 2023 06:34

    Makundi ya muqawama yamewapongeza wananchi wa Palestina kwa kupata ushindi mkubwa wa kufanikiwa kuzima uvamizi na mashambulizi ya jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS