Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Maelfu waandamana katika ardhi za Palestina dhidi ya Waziri fisadi Netanyahu na serikali yake

    Maelfu waandamana katika ardhi za Palestina dhidi ya Waziri fisadi Netanyahu na serikali yake

    Jan 08, 2023 03:50

    Maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel) wameandamana kupinga baraza jipya la mawaziri la Waziri Mkuu wa Israel lenye misimamo mikali. Baraza hilo jipya la Benjamin Netanyahu linatabiriwa kuanzisha sera hatari huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha

    Netanyahu: Azimio la UN dhidi ya Israel halina umuhimu, linakirihisha

    Jan 01, 2023 03:54

    Waziri Mkuu wa Israel amesema azimio jipya lililopitishwa dhidi ya utawala huo haramu katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa halina maana wala umuhimu wowote.

  • HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel

    HAMAS yakosoa maazimio yasio na taathira yanayopitishwa na UN dhidi ya Israel

    Dec 31, 2022 22:56

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kupitisha maazimio kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni bila ya kufikiria njia za kivitendo za kuwezesha utekelezaji wake.

  • Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia

    Mfalme wa Jordan aonya: Intifadha mpya ya Wapalestina inanukia

    Dec 29, 2022 23:05

    Mfalme wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kushadidisha mivutano na jinai dhidi ya Wapalestina na kueleza kuwa, jinai hizo huenda zikapelekea kuibuka Intifadha mpya ya Wapalestina.

  • Haniya: Wapalestina watashadidisha mapambano dhidi ya ujenzi haramu wa Israel

    Haniya: Wapalestina watashadidisha mapambano dhidi ya ujenzi haramu wa Israel

    Dec 29, 2022 09:06

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameionya Israel dhidi ya sera yake ya unyakuzi wa ardhi na kusisitiza kuwa, ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni utakabiliwa kwa nguvu kupitia muqawama.

  • Israel yawaweka mamia ya watoto wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani

    Israel yawaweka mamia ya watoto wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani

    Dec 27, 2022 04:02

    Kamisheni ya Wafungwa wa Kipalestina imesema utawala haramu wa Israel umewaweka watoto zaidi ya 600 wa Kipalestina katika kifungo cha nyumbani, tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendelea na kampeni yake ya kuwanyanyasa na kuwatia mbaroni Wapalestina.

  • Hamas: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu; serikali ya Netanyahu ni dhihirisho la watenda jinai

    Hamas: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu; serikali ya Netanyahu ni dhihirisho la watenda jinai

    Dec 26, 2022 23:02

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika mji wa Quds amesema kuwa, serikali mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayoongozwa na Benjamin Netanyahu inadhihirisha sura ya watenda jinai na kusisitiza kuwa: Adui haelewi isipokuwa lugha ya mabavu.

  • Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

    Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

    Dec 24, 2022 22:47

    Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.

  • Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina

    Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina

    Dec 22, 2022 23:42

    Rais wa Chile, Gabriel Boric amesema nchi hiyo inapanga kufungua ubalozi wake huko Palestina kwa shabaha ya kuongeza kiwango cha uwakilishwaji wake rasmi katika taifa hilo linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus

    Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus

    Dec 18, 2022 07:10

    Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani mauaji ya mandugu wawili wa Kipalestina katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS