-
WHO yachukua hatua dhidi ya kirusi cha Mpox huku kesi za maambukizi zikiongezeka Afrika
Aug 08, 2024 07:52Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameitisha mkutano wa dharura wa wataalamu wa kimataifa huku kesi za maambukizi ya spishi hatari zaidi ya kirusi cha Mpox zikiongezeka katika nchi za Afrika.
-
Iran yaitaka serikali ya Ufaransa iache kuwakandamiza waandamanaji
Jul 02, 2023 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Polisi ya Ufaransa inapaswa kujizuia kutumia mabavu dhidi ya waandamanaji wanalalamikia kuuawa kijana wa miaka 17 mikononi mwa polisi
-
Mwaka wa tatu wa mauaji ya George Floyd; kuendelea ubaguzi wa rangi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika
May 28, 2023 10:49Ikiwa umetimia mwaka wa tatu tangu kuuawa kikatili George Floyd, Mmarekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi mbaguzi mzungu anayeitwa Derek Chauvin katika mji wa Minneapolis, Minnesota, suala la ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi nchini Marekani dhidi ya watu weusi au wenye asili ya Afrika bado ni miongoni mwa matatizo makubwa katika nchi hiyo.
-
Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi
Feb 13, 2023 02:34Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya mamia ya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, na hususan mageuzi tata ya pensheni yaliyotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.
-
Kukirihishwa polisi na vyombo vya habari vya Magharibi katika kukabiliana na kuakisi ugaidi wa Wazungu
Dec 27, 2022 02:28Shambulio la kigaidi na la ubaguzi wa rangi lililotokea hivi karibuni Paris, mji mkuu wa Ufaransa, kwa mara nyingine limeonesha jinsi polisi na vyombo vya habari vya Magharibi vinavyokirihishwa, kuchukizwa na kutopenda kabisa kukabiliana na kuakisi vitendo vya kigaidi vinavyoifanywa na Wazungu magaidi.
-
Uingereza na Marekani zinachochea ghasia moja kwa moja nchini Iran
Oct 01, 2022 04:54Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
-
Utafiti: Polisi ya Marekani imeua raia 700 ndani ya miezi 7
Aug 05, 2022 01:14Mamia ya raia wameuawa na askari polisi wa Marekani tokea mwanzoni mwaka huu 2022 hadi sasa, huku duru mbalimbali zikiendelea kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia hususan Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Polisi ya Taliban Afghanistan yaanza kuajiri askari wanawake
Jun 09, 2022 12:20Maafisa wa Idara ya uajiri katika jeshi la polisi la mkoa wa Balakh nchini Afghanistan wamesema jeshi hilo limeanza kuandikisha wanawake watakaoajiriwa kuhudumu kama askari.
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi ya Tanzania: Polisi itakagua yanayofundishwa nyumba za ibada
Sep 11, 2021 13:30Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday Schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
-
Wabunge Ufaransa wakosoa kuteuliwa afisa wa UAE kuongoza Interpol
Jun 19, 2021 05:10Makumi ya Wabunge wa Ufaransa wamelalamikia hatua ya kuteuliwa afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa Rais wa Polisi ya Kimataifa (Interpol).