-
Safari ya Raisi nchini Qatar, maonyesho ya diplomasia ya ujirani mwema
Feb 21, 2022 06:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amewasili Doha mji mkuu wa Qatar kwa mwaliko wa Amir wa nchi hiyo, kuhudhuria Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (OPEC-Gas) sambamba na kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran
Jan 28, 2022 04:54Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo siku ya Alhamisi alifanya ziara mjini Tehran ambapo alionana na kuzungumza na waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran Hussein Amir Abdollahian.
-
Hassan bin Abdullah al Ghanim achaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar
Oct 27, 2021 00:36Hassan bin Abdullah al Ghanim amechaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar baada ya kupigiwa kura 37 za 'ndiyo' na wabunge wa bunge hilo lililoundwa kupitia uchaguzi wa hivi karibuni.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Doha na Cairo katika Muktadha wa Busara ya Qatar katika sera ya kigeni
Oct 22, 2021 00:26Kufuatia kuanza kazi kwa balozi wa Qatar mjini Cairo, balozi wa Misri pia aliwasili Doha siku ya Jumatano Oktoba 20 kwa ajili ya kuwakilisha nchi yake katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Qatar na Misri baada ya Saudi Arabia
Aug 26, 2021 09:15Salim Mubarak Al Shafi balozi wa Qatar mjini Cairo Jumatatu wiki hii alikutana na kufanya mazungumzo na Sameh Hassan Shoukry Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri na akamkabidhi hati yake ya utambulisho.
-
Qatar yatoa msaada kwa Yemen kusaidia ili upatikanaji wa chakula
Jul 22, 2021 22:02Amir wa Qatar ameagiza kutolewa dola milioni mia moja ili kusaidia usalama wa chakula huko Yemen.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar aelekea Beirut kuchunguza mgogoro wa kuunda serikali ya Lebanon
Jul 06, 2021 03:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar leo anaelekea Beirut mji mkuu wa Lebanon kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo ambapo pande mbili zitachunguza mgogoro wa kisiasa unaendelea nchini humo kuhusu suala la kuasisi serikali ya Lebanon.
-
Imarati yatumia dola milioni 50 kuzalisha filamu ya kuichafua Qatar
Jun 24, 2021 02:50Umoja wa Falme za Kiarabu umekosolewa vikali kwa kutumia makumi ya mamilioni ya dola kuzalisha filamu ambayo inaisawiri jirani yake Qatar kama 'dola la kigaidi.'
-
Kuondoka na kurejea balozi wa Saudi Arabia nchini Qatar mwezi Juni
Jun 23, 2021 21:41Mwezi Juni umedhihiri kuwa na nafasi maalumu katika uhusiano wa miaka ya hivi karibuni baina ya Saudi Arabia na Qatar. Mwezi Juni miaka minne iliyopita, Saudi Arabia ilikata uhusiano wake wote na Qatar na kuiwekea vikwazo vya pande zote nchi hiyo ndogo ya Kiarabu. sasa hivi na baada ya kupita miaka yote hiyo, Saudia imeamua kumrejesha Qatar balozi wake katika mwezi wa Juni.
-
Saudia yalegeza msimamo mkali na kurejesha balozi wake Doha, Qatar
Jun 21, 2021 23:50Utawala wa Saudi Arabia umelegeza misiammo yake mikali na hatimaye kuafiki kumrejesha balozi wake katika mji mkuu wa Qatar, Doha, baada ya miaka minne.