-
Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Marekani mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 26, 2018 22:02Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni siku ya kupazwa duniani sauti ya kudhulumiwa taifa la Palestina na kuchukizwa ulimwengu na utawala katili wa Israel unaoua watoto wadogo, inawadia.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani
May 21, 2018 03:27Makumi ya maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika mji wa Dār al-Bayḍā (Casablanca) kulaani hatua ya Marekani ya kuuhamishia Quds ubalozi wake uliokuweko Tel Aviv, mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds
May 20, 2018 22:03Walowezi zaidi ya 300 wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa al Aqsa ulioko katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kususiwa sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds
May 13, 2018 06:05Zaidi ya nusu ya viongozi wa kigeni walioalikwa kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds, wamekataa kushiriki sherehe hizo.
-
Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US
May 13, 2018 03:16Mamia ya Waisraeli wamejiunga na Wapalestina katika maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Mataifa ya Kiislamu yaandamana kupinga US kuuhamishia ubalozi wake Quds
May 12, 2018 02:54Maelfu ya watu wameshiriki maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Kuchukua wigo mpana zaidi malalamiko ya Wapalestina dhidi ya njama za Trump huko Beitul-Muqaddas
May 10, 2018 07:21Ripoti mbalimbali kutoka Palestina zinaonyesha juu ya kushadidi upinzani na malalamiko ya vyama na makundi mbalimbali ya Kipalestina dhidi ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya mji wa Beitul-Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa: Tunapinga Marekani kuhamishia ubalozi wake Beitul-Muqadas
May 09, 2018 09:47Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kwa mara nyingine tena upinzani wa taasisi hiyo kwa uamuzi wa Marekani wa kutaka kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Beitul-Muqaddas huko Palestina inayokkaliwa kwa mabavu.
-
Kusimama kidete Wapalestina kwawalazimisha Wazayuni kuitisha kikao cha dharura
May 09, 2018 03:20Viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamelazimika kuitisha kikao cha dharura baada ya vyama, mirengo na makundi yote ya Wapalestina kuungana na kusimama imara kukabiliana na uadui wa kupindukia wa rais wa Marekani dhidi ya mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
-
Ukosoaji wa rais wa Romania kwa uamuzi wa kuhamishiwa ubalozi wa nchi hiyo Quds Tukufu
May 06, 2018 22:26Rais Klaus Iohannis wa Romania amekosoa vikali uamuzi wa serikali ya nchi hiyo wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv, kwenda mji wa Quds (Jerusalem) na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kosa kubwa.