Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Jenerali Jaafari: Quds Tukufu Itakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni

    Jenerali Jaafari: Quds Tukufu Itakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni

    Dec 09, 2017 23:26

    Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, lengo kuu la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds. Ameongeza kuwa: Mji wa Quds utakuwa kaburi la utawala bandia wa Kizayuni.

  • Njia za kukabiliana na misimamo ya kichokozi ya Donald Trump kuhusu Quds

    Njia za kukabiliana na misimamo ya kichokozi ya Donald Trump kuhusu Quds

    Dec 09, 2017 23:24

    Mbali na katika kona mbalimbali za dunia, maandamano makubwa ya Wapalestina na fikra za walio wengi katika ulimwengu wa Kiislamu zinaendelea kumuandama rais wa Marekani, Donald Trump kutokana na chokochoko zake za kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.

  • Wajordan waandamana kumlaani Rais wa Marekani

    Wajordan waandamana kumlaani Rais wa Marekani

    Dec 09, 2017 11:51

    Wananchi wa Jordan pamoja na viongozi wa sekta mbalimbali akiwemo spika wa bunge la nchi hiyo wamefanya maandamano karibu na ubalozi wa Marekani mjini Amman kulaani hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump, ya kuitambua Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Kizayuni.

  • Balozi wa Iran UN: Hatua ya Marekani kuhusu Quds ni kuhalalisha uvamizi na ukaliaji wa mabavu

    Balozi wa Iran UN: Hatua ya Marekani kuhusu Quds ni kuhalalisha uvamizi na ukaliaji wa mabavu

    Dec 09, 2017 04:03

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, kukaliwa kwa mabavu Palestina ndilo chimbuko la migogoro yote ya eneo la Mashariki ya Kati na kusisitiza kwamba hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni ni kujaribu kuhalalisha ukaliaji wa mabavu.

  • Sheikh Mkuu wa Azhar afuta mkutano na Makamu wa Rais wa Marekani

    Sheikh Mkuu wa Azhar afuta mkutano na Makamu wa Rais wa Marekani

    Dec 09, 2017 03:59

    Imam Mkuu wa Msikiti wa al Azhar nchini Misri amefutilia mbali mkutano uliotazamiwa kufanyika hivi karibuni kati yake na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, ikiwa ni radiamali kwa kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Trump, Quds inayokaliwa kwa mabavu na sheria za kimataifa

    Trump, Quds inayokaliwa kwa mabavu na sheria za kimataifa

    Dec 09, 2017 03:32

    Tukiachilia mbali kujadili ni matokeo gani hasi na mabaya utakuwa nayo uamuzi aliochukua Donald Trump kuitangaza Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni, kuuhakiki uamuzi huo katika mtazamo wa sheria za kimataifa kuna umuhimu mkubwa.

  • Viongozi wa Kiislamu Kenya walaani hatua ya Trump dhidi ya Quds

    Viongozi wa Kiislamu Kenya walaani hatua ya Trump dhidi ya Quds

    Dec 08, 2017 23:24

    Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wamelaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.

  • Mahojiano ya Salum Bendera na Sheikh Ali Ammar Mwazoa kuhusu uamuzi wa Trump kuhusiana na Quds + SAUTI

    Mahojiano ya Salum Bendera na Sheikh Ali Ammar Mwazoa kuhusu uamuzi wa Trump kuhusiana na Quds + SAUTI

    Dec 08, 2017 13:45

    Waislamu na wapenda haki kote ulimwenguni, jumuiya na asasi za kimataifa zimeendelea kupaza sauti kulalamikia na kuulaani uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israe.

  • Wairani waandamana kulaani uamuzi wa Rais Trump kuhusu Baitul Muqaddas

    Wairani waandamana kulaani uamuzi wa Rais Trump kuhusu Baitul Muqaddas

    Dec 08, 2017 11:29

    Maelfu ya wananchi wa Iran wameandamana leo baada ya Swala ya Ijumaa katika miji mbalimbali hapa nchini wakilalamikia na kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutambua mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kama mji mkuu wa utawala vamizi wa Israel.

  • SEPAH: Hatua ya Trump ni fitina kubwa dhidi ya Umma wa Kiislamu

    SEPAH: Hatua ya Trump ni fitina kubwa dhidi ya Umma wa Kiislamu

    Dec 08, 2017 04:28

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limelaani hatua ya Rais wa Marekani ya kuutambua rasmi mji wa Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa kijahili wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa fitina kubwa kwa Umma wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS