-
Rais wa Iran: Ni lazima tuungane dhidi ya uchokozi wa utawala wa kijinai wa Israel
Jun 16, 2025 11:21Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu wanahitaji umoja na mshikamano wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ule, na lazima washikane mikono na kusimama kidete kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Israel unaofanya mauaji ya kimbari.
-
Rais wa Iran amfuta kazi Makamu wake kwa 'safari ya ubadhirifu'
Apr 05, 2025 09:37Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati wa sherehe za mwaka mpya wa Kiirani (Nowruz), iliyojaa ubadhirifu.
-
Netumbo Nandi aapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia
Mar 21, 2025 14:42Netumbo Nandi Ndaitwah ameapishwa leo Ijumaa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia, baada ya kushinda uchaguzi mwaka jana.
-
Pezeshkian: Ramadhani iwe chachu ya kuimarika umoja wa Waislamu
Mar 03, 2025 07:08Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.
-
Rais wa Iran ataka kuimarishwa uhusiano wa mataifa ya Waislamu
Feb 27, 2025 11:03Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuimarisha maelewano na uhusiano miongoni mwa nchi za Kiislamu zikiwemo Iran na Malaysia ni miongoni mwa mambo ya lazima katika hali ya sasa ya kimataifa.
-
Tehran: Maajenti wa mauaji wanaituhumu Iran kukiuka haki
Feb 18, 2025 07:31Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatuhumiwa kukiuka haki za binadamu na pande ambazo zinasababisha vifo na uharibifu katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui
Feb 10, 2025 11:27Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anasema Jamhuri ya Kiislamu itafanya juu chini kuzima njama zote zinazopangwa na maadui dhidi ya taifa hili.
-
'Baba wa Taifa' wa Namibia aaga dunia akiwa na miaka 95
Feb 09, 2025 07:10Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Windhoek.
-
Rais wa Comoro aazimia kumkabidhi mwanawe madaraka
Jan 25, 2025 02:57Rais wa Comoro, Azali Assoumani kwa mara ya kwanza amesema hadharani kuwa ana nia ya kukabidhi madaraka kwa mwanawe Nour El Fath atakapoondoka madarakani mwaka wa 2029; na kuthibitisha tetesi za wakosoaji wake kwamba amekuwa akimtayarisha kwa muda mrefu mwanawe kumrithi.
-
Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu
Jan 23, 2025 12:27Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la "Ghuba ya Mexico" kuwa "Ghuba ya Marekani" imekabiliwa na hisia kali kutoka Mexico.