Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Netumbo Nandi aapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

    Netumbo Nandi aapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia

    Mar 21, 2025 11:12

    Netumbo Nandi Ndaitwah ameapishwa leo Ijumaa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia, baada ya kushinda uchaguzi mwaka jana.

  • Pezeshkian: Ramadhani iwe chachu ya kuimarika umoja wa Waislamu

    Pezeshkian: Ramadhani iwe chachu ya kuimarika umoja wa Waislamu

    Mar 03, 2025 03:38

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.

  • Rais wa Iran ataka kuimarishwa uhusiano wa mataifa ya Waislamu

    Rais wa Iran ataka kuimarishwa uhusiano wa mataifa ya Waislamu

    Feb 27, 2025 07:33

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema kuimarisha maelewano na uhusiano miongoni mwa nchi za Kiislamu zikiwemo Iran na Malaysia ni miongoni mwa mambo ya lazima katika hali ya sasa ya kimataifa.

  • Tehran: Maajenti wa mauaji wanaituhumu Iran kukiuka haki

    Tehran: Maajenti wa mauaji wanaituhumu Iran kukiuka haki

    Feb 18, 2025 04:01

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatuhumiwa kukiuka haki za binadamu na pande ambazo zinasababisha vifo na uharibifu katika pembe mbali mbali za dunia.

  • Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui

    Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui

    Feb 10, 2025 07:57

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anasema Jamhuri ya Kiislamu itafanya juu chini kuzima njama zote zinazopangwa na maadui dhidi ya taifa hili.

  • 'Baba wa Taifa' wa Namibia aaga dunia akiwa na miaka 95

    'Baba wa Taifa' wa Namibia aaga dunia akiwa na miaka 95

    Feb 09, 2025 03:40

    Rais wa kwanza wa Namibia huru, Sam Nujoma, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika mji mkuu wa nchi hiyo, Windhoek.

  • Rais wa Comoro aazimia kumkabidhi mwanawe madaraka

    Rais wa Comoro aazimia kumkabidhi mwanawe madaraka

    Jan 24, 2025 23:27

    Rais wa Comoro, Azali Assoumani kwa mara ya kwanza amesema hadharani kuwa ana nia ya kukabidhi madaraka kwa mwanawe Nour El Fath atakapoondoka madarakani mwaka wa 2029; na kuthibitisha tetesi za wakosoaji wake kwamba amekuwa akimtayarisha kwa muda mrefu mwanawe kumrithi.

  • Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu

    Madai ya Trump kuhusu maeneo ya nchi nyingine, dhihirisho la ubeberu wa hali ya juu

    Jan 23, 2025 08:57

    Hatua isiyo ya kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoa amri ya kubadili jina la "Ghuba ya Mexico" kuwa "Ghuba ya Marekani" imekabiliwa na hisia kali kutoka Mexico.

  • Rais mpya wa Ghana ateuwa mawaziri wake wa awali

    Rais mpya wa Ghana ateuwa mawaziri wake wa awali

    Jan 10, 2025 23:26

    Rais mpya wa Ghana, John Dramani Mahama, ameweka wazi uteuzi wake muhimu katika baraza la mawaziri la serikali ijayo ya nchi hiyo kwa kuwateuwa Cassiel Ato Forson kuwa Waziri wa Fedha, John Abdulai Jinapor Waziri wa Nishati, na Dominic Akuritinga Ayine kuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Sheria.

  • Iran: Mhimili wa Muqawama hauwezi kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake

    Iran: Mhimili wa Muqawama hauwezi kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake

    Jan 05, 2025 23:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameuelezea Mhimili wa Muqawama kuwa ni "Piganio Takatifu" lisiloweza kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS