-
Kuwasilishwa kwa Myanmar orodha ya kwanza ya Waislamu wa Rohingya watakaorejeshwa nchini humo
Feb 18, 2018 04:43Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bangladesh ameikabidhi Myanmar orodha ya kwanza ya wakimbizi wa Waislamu wa kabila la Rohingya ambao wanatazamiwa kurejeshwa katika makazi yao.
-
UN: Myanmar haijaandaa mazingira salama ya kurejea nchini Warohingya
Feb 14, 2018 03:55Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) amesema Myanmar imeshindwa kuandaa mazingira salama ya kuruhusu kurejea kwa khiari nchini humo Waislamu wakimbizi 688,000 Warohingya waliokimbilia nchi jirani ya Bangladesh.
-
Ripoti: Waislamu wa Rohingya walimwagiwa asidi usoni kabla ya kuzikwa hai
Feb 01, 2018 10:37Makaburi matano mapya ya umati yamegunduliwa katika vijijini vya mkoa wa Rakhine nchini Myanmar, ambapo baadhi ya Waislamu wa Rohingya walimwagiwa tindikali katika nyuso zao kabla ya viwiliwili vyao kufukiwa wakiwa hai.
-
UNICEF yataka kuandaliwa mazingira ya kurejea wakimbizi watoto wa Myanmar
Jan 25, 2018 03:54Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuboreshwa mazingira ya kiusalama na kuandaliwa uwanja wa kurejea nchini Myanmar wakimbizi watoto wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar
Jan 19, 2018 10:23Mamia ya wakimbizi wa Kirohingya walioko nchini Bangladesh leo Ijumaa wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kuwarejesha nchini Myanmar, ambako walikimbia mauaji na mashambulizi kutoka kwa jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar waendelea kufanyiwa ukatili
Jan 05, 2018 11:31Ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Myanmar unaendelea kuathiri maisha ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
-
UN: Huenda Suu Kyi akafunguliwa mashitaka ya mauaji ya kimbari
Dec 18, 2017 04:04Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema uhalifu unaofanywa na wanajeshi wakishirikiana na Mabudha nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya ni mauaji ya kimbari na yumkini wanaohusika wakiwemo viongozi wa nchi hiyo wakapandishwa kizimbani karibuni hivi.
-
Waislamu 6,700 wa Rohingya wameuawa Myanmar ndani ya mwezi mmoja pekee
Dec 14, 2017 12:25Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka MSF limesema kwa akali Waislamu 6,700 wa jamii ya Rohingya waliuliwa katika kipindi cha mwezi mmoja nchini Myanmar, tangu operesheni mpya iliyoungwa mkono na serikali ianzishwe na jeshi la nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo ya wachache.
-
Uchunguzi: Jeshi la Myanmar limewabaka wanawake Waislamu wa Rohingya kwa mpango maalumu
Dec 11, 2017 23:07Uchunguzi mpya uliofanywa unaonyesha kuwa, wanawake Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar walibakwa kwa umati na kwa mpangilio maalumu na wanajeshi wa nchi hiyo katika mkoa wa Rakhine ulioko magharibi mwa nchi hiyo ambako kampeni ya kufuta kizazi cha jamii hiyo ya wachache imekuwa ikitekelezwa.
-
Papa Francis akataa kuwataja 'Waislamu wa Rohingya' akiwa Myanmar
Nov 28, 2017 12:48Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amekataa kuwataja Waisalmu wa Rohingya alipohutubu leo akiwa Myanmar pamoja na kuwa jamii hiyo ya waliowachache inakabiliwa na maangamizi ya kimbari nchini humo.