Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rohingya

  • UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea

    Nov 24, 2017 12:22

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema hali katika mkoa wa Rakhine nchini Myanmar sio shwari kuweza kuwapokea malaki ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia nchini Bangladesh.

  • UN: Wakimbizi Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa

    UN: Wakimbizi Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa

    Nov 19, 2017 12:55

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hatari zinazowakabili Waislamu wakimbizi wa Rohingya katika wimbi la kufukuzwa huko Myanmar.

  • China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya

    China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya

    Nov 19, 2017 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amezitaka serikali za Myanmar na Bangladesh kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya, badala ya kusubiri utatuzi wa jamii ya kimataifa katika uwanja huo.

  • HRW: Jeshi na polisi wa Myanmar wamebaka na kunajisi wanawake wengi Waislamu

    HRW: Jeshi na polisi wa Myanmar wamebaka na kunajisi wanawake wengi Waislamu

    Nov 16, 2017 12:31

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa Myanmar wamefanya uhalifu mkubwa wa kunajisi na kubaka wasichana na wanawake wa Rohingya ikiwa ni sehemu ya maangamizi ya kizazi dhidi ya Waislamu nchini humo.

  • Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu

    Bangladesh yaitaka dunia iishinikize Myanmar iacha kuwakandamiza Waislamu

    Nov 05, 2017 23:15

    Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.

  • EU: Idadi ya watoto mayatima wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh ni 40,000

    EU: Idadi ya watoto mayatima wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh ni 40,000

    Nov 02, 2017 04:01

    Kamishna Mkuu wa Misaada ya Kibinadamu na Kudhibiti Majanga wa Umoja wa Ulaya amesema zaidi ya watoto elfu 40 ni miongoni mwa malaki ya wakimbizi wa jamii ya Rohingya waliokimilia nchini Bangladesh kutokana na mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.

  • Waislamu 7 wa Rohingya waghariki katika ajali nyingine ya boti

    Waislamu 7 wa Rohingya waghariki katika ajali nyingine ya boti

    Oct 31, 2017 09:55

    Waislamu saba wa jamii ya Rohingya wamepoteza maisha katika ajali mbili tofauti za boti karibu na pwani ya Bangladesh wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.

  • Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Ayatullah Shirazi: Waislamu wasinyamazie kimya jinai dhidi ya wenzao wa Rohingya

    Oct 29, 2017 12:32

    Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameeleza kusikitishwa kwake na hali mbaya inayozidi kuwakabili Waislamu wa jamii ya Rohingya huku akiwataka Waislamu kote duniani kutofumbia macho jinai wazofanyia ndugu zao nchini Myanmar.

  • Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar

    Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar

    Oct 28, 2017 12:07

    Maafisa wa afya nchini Bangladesh wamesema wameanzisha mpango maalumu wa kupunguza idadi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wamekimbia mauaji ya kimbari huko Myanmar na kujazana katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh.

  • Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Waislamu Warohingya Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari

    Oct 22, 2017 23:21

    Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar wanakabiliwa na mauaji ya kimbari kwa lengo la kuwamaliza kabisa katika nchi hiyo ya bara Asia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS