-
Watoto wakimbizi wa Rohingya wafanywa watumwa wa ngono
Oct 20, 2017 04:23Wanaofanya magendo ya binadamu na biashara haramu ya utumwa wa ngono wameanza kuwavizia wanawake na watoto wadogo wa jamii ya Rohingya waliofurika katika kambi za wakimbizi zilizoko katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh.
-
Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu
Oct 16, 2017 04:44Idara ya Huduma za Kijamii nchini Bangladesh imesema watoto karibu 14 elfu wa Rohingya wamekuwa mayatima baada ya kupoteza wazazi wao katika mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii hiyo nchini Myanmar.
-
Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya
Oct 13, 2017 10:49Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.
-
Baraza la Usalama la UN linakutana leo kujadili masaibu ya Waislamu wa Myanmar
Oct 13, 2017 01:07Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linakutana katika kikao kisicho rasmi kwa ajili ya kujadili mgogoro na masaibu yanayowakabili Waislamu Warohingya wa nchini Myanmar.
-
Makumi ya Waislamu wa Rohingya wafa maji katika ajali ya boti
Oct 09, 2017 04:38Kwa akali Waislamu 12 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.
-
HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar
Oct 05, 2017 04:26Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limesema jeshi la Myanmar linawaua kiholela na kuwanajisi Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
UNHCR yaomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia Waislamu wa Myanmar
Oct 05, 2017 01:05Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingyya wa nchini Myanmar.
-
WFP: Jamii ya kimataifa iwatumie misaada Waislamu wa Rohingya
Oct 02, 2017 00:57Mpango wa Chakula Duniani WFP umeitaka jamii ya kimataifa kufanya hima kunusuru maisha ya mamia ya maelfu ya Waislamu wa kabila la Rohingya wanaohitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama
Sep 28, 2017 10:53Kwa akali Waislamu 14 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.
-
UNHCR: Misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya Waislamu Warohingya
Sep 26, 2017 12:31Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuongeza mara mbili juhudi za kuwasaidia wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya umati Myanmar na kupata hifadhi nchini Bangladesh.