-
Rais Rouhani awasilisha pendekezo la kutatua mgogoro wa Syria
Nov 22, 2017 13:04Rais Hassan Rouhani anayeshiriki kikao cha marais wa Russia, Uturuki na Iran katika mji wa Suchi amewasilisha pendekezo lenye vifungu vikuu vitatu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria.
-
Rais Rouhani: Kushindwa magaidi wa Daesh ni habari njema kwa Iran na Mashariki ya Kati
Nov 21, 2017 10:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kung'olewa mizizi ya kundi la kigaidi la Daesh na kusambaratishwa misingi yake huko nchini Syria ni habari njema kwa wananchi wa Iran na wa mataifa ya Mashariki ya Kati.
-
Rais Rouhani wa Iran ampongeza Rais Kenyatta wa Kenya kwa kuchaguliwa tena
Nov 21, 2017 04:15Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ujumbe wa kumpongeza kufuatia kuchaguliwa tena kuwa rais wa Kenya.
-
Rais Rouhani: Serikali itaendelea kuwa pamoja na wananchi walioathiriwa na tetemeko la ardhi
Nov 14, 2017 13:06Rais Hassan Rouhani amesema: serikali haitawaacha peke yao wananchi walioathiriwa na tetemeko la ardhi; na kwa kuwa ni mtumishi wa wananchi itaendelea kuwa pamoja na wananchi hao.
-
Rais Rouhani aagiza kutolewa misaada zaidi kwa walioathirika na tetemeko la ardhi Iran
Nov 13, 2017 12:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kutuma rambi rambi kufuatia kupoteza maisha wananchi katika mtetemeko mkubwa wa ardhi katika mikoa ya magharibi mwa Iran, ametoa amri ya kutumiwa uwezo wote wa serikali kuwasaidia waathirika wa zilzala hiyo.
-
Rouhani: Maadui wanataka kuzusha mgogoro mpya Mashariki ya Kati
Nov 11, 2017 12:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya njama zao kushindwa sasa maadui wanapanga mikakati ya kuzusha njama mpya katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Watawala wa Saudia wanajua vyema nguvu za Iran
Nov 08, 2017 11:59Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel daima zinayatakia mabaya mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na zinatumia visingizio vya aina mbalimbali kwa ajili ya kuwepo katika eneo hilo na kupora mafuta na utajiri wake.
-
Rais Rouhani alikataa ombi la Trump la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja
Nov 03, 2017 23:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikataa katakata ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja, limeandika gazeti la Washington Post.
-
Rouhani: Russia ni mshirika wetu wa kiistratijia; Putin: JCPOA haina uhusiano wowote na miradi ya makombora ya Iran
Nov 01, 2017 12:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Russia ni nchi rafiki, jirani na mshirika wa kiistratijia na kwamba Tehran ina hamu ya kuona uhusiano wake na Moscow unaimarika katika nyuga zote.
-
Rais Rouhani: Wamarekani wanataka kuwavunja moyo wananchi wa Iran
Oct 31, 2017 01:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wanataka kuwavunja moyo wananchi wa Iran kuhusu masuala yao ya kiuchumi na hiyo ndiyo njama yao kuu ya kuzuia maendeleo ya taifa hili.