-
Iran itaendelea kushirikiana na IAEA, kufungamana na JCPOA
Oct 30, 2017 04:30Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuna haja Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) uendelee kuwa chombo huru na kisichoegemea upande wowote akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na wakala huo.
-
Rais Rouhani akataa mwaliko wa kukutana na kufanya mazungumzo na Trump
Oct 30, 2017 04:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikataa mwaliko wa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump wa Marekani alipokuwa New York kushiriki mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA.
-
Rouhani: Wamarekani wametiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa makombora wa Iran
Oct 29, 2017 12:41Rais Hassan Rouhani ameutaja kuwa ni kichekesho na dhihaka mwito wa Marekani wa kutaka kufanyika mazungumzo mapya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuzalisha makombora kwa ajili ya kujilinda.
-
Rais Rouhani: Marekani imetengwa kwa hatua yake ya kuvuruga mapatano ya nyuklia
Oct 17, 2017 02:40Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kubakia Marekani peke yake kufuatia hatua yake ya kuvuruga mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA ni kati ya mafanikio ya Iran
-
Rais Rouhani: Azma ya Iran ni kustawisha uhusiano na Bara la Afrika
Oct 15, 2017 01:11Rais Hassan Rouhani amesema kustawisha na kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika hasa Nigeria ikiwa ni nchi rafiki na ya Kiislamu ni miongoni mwa misingi ya sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na akasisitiza kwamba mashirika makubwa ya Kiirani yako tayari kutekeleza miradi ya maendeleo nchini Nigeria.
-
Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe
Oct 11, 2017 13:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, madhara ya kujitoa huko yatawakumba Wamarekani wenyewe. Amesisitiza kuwa, Iran haitakwamishwa na jambo lolote katika kufikia malengo yake.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania afanya mazungumzo na Rais Rouhani
Oct 11, 2017 13:20Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kustawisha uhusiano na nchi za Afrika ni katika misingi ya siasa za nje za Iran na amesisitiza kwamba, Tehran inakaribisha kwa mikono miwili suala la kuimarisha uhusiano na ushirikiano wake na nchi zote za Afrika ikiwemo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Rouhani: Kuanzisha vita hakutakuwa na manufaa kwa nchi yoyote M/Kati
Oct 11, 2017 04:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Kuanzishwa vita hakutainufaisha nchi yoyote Mashariki ya Kati
Oct 11, 2017 01:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu taathira hasi za kuanzishwa vita na kuibuliwa mifarakano zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rais Rouhani: Mafanikio ya mapatano ya nyuklia ya Iran hayawezi batilishwa
Oct 07, 2017 10:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesistiza kuwa, manufaa ya mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA hayawezi batilishwa na yeyote duniani hata rais wa Marekani.