-
Rouhani: Dunia imetambua rasmi haki za nyuklia za Iran
Apr 07, 2016 03:44Rais Hassan Rouhani wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa walimwengu na jumuiya za kimataifa zimetambua rasmi haki za Iran katika uwanja wa nyuklia.
-
Kuahirishwa safari ya Rais wa Iran nchini Austria
Mar 30, 2016 01:42Imeelezwa kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafanyika katika muda muafaka kufuatia kufikiwa makubaliano kati ya pande mbili na ili kuwezesha kufanyika uratibu zaidi.
-
Hamu ya Austria ya kupanua uhusiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mar 29, 2016 23:39Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano ya kesho tarehe 30 Machi anatarajiwa kuelea Vienna Austria kujibu mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Heinz Fischer.
-
Rouhani na Putin: Wasyria watajiamulia mambo yao
Mar 28, 2016 09:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Rais Vladimir Putin wa Russia juu ya udharura wa wananchi wa Syria kuachiwa wajiamulie mambo yao wenyewe.
-
Rouhani: Makubaliano ya nyuklia ni tukio litakalokumbukwa katika historia ya Iran na Dunia
Mar 27, 2016 22:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 ni tukio litakalosalia katika historia ya Iran na dunia.
-
Rais Rouhani: Serikali inalenga kuharakisha utekelezaji wa Uchumi wa Muqawama
Mar 27, 2016 10:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema azma ya serikali ni kuharakisha mwenendo wa utekelezaji Uchumi wa Muqawama.
-
Iran na Pakistan kuimarisha ushirikiano dhidi ya ugaidi
Mar 26, 2016 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyuga mbalimbali hususan katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Viongozi wa Iran na Pakistan wakutana Islamabad
Mar 25, 2016 11:21Rais Hassan Rouhani wa Iran na Nawaz Shariff Waziri Mkuu wa Pakistan wamekutana na kufanya mazungumzo na kujadili uimarishwaji uhusiano wa pande mbili hasa wa kiuchumi, masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Brussels
Mar 23, 2016 02:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Rais Rouhani asisitiza kutekelezwa sera za Uchumi wa Muqawama
Mar 21, 2016 23:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa serikali yake itatekeleza sera za Uchumi wa Muqawama.